Switzerland vs Bosnia and Herzegovina: Utabiri, muda, vikosi, h2h na odds
- Switzerland vs Bosnia and Herzegovina, ratiba ya mechi za mzunguko wa pili wa Kundi B Kombe la Dunia 2026, mechi hii Uwanja wa Los Angeles June 18, 2026 sasa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
- Kwa kuzingatia uchambuzi wa kina wa Opta Analyst, Switzerland wanapewa nafasi kubwa ya asilimia 61% kushinda dhidi ya Bosnia and Herzegovina yenye asilimia 21
- Mechi hii inazikutanisha timu ambazo zimetoka kutoa sare katika michezo yao ya ufunguzi.
- Makala hii inakuletea taarifa muhimu kuhusu mchezo huu zikiwemo; livescores, h2h, prediction, stats, results
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina, ratiba ya mchezo wa mzunguko wa pili wa Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi hii itapigwa tarehe 18 June 2026 nchini USA. Timu zote ndani ya Kundi B zimekusanya pointi moja mpaka sasa, hii ni baada ya matokeo ya sare ya mechi za kwanza. Nakala hii inaangazia habari za sasa kuhusu mchezo huu wa Kundi B la Kombe la Dunia la FIFA 2026, ikiwemo; utabiri takwimu na matokeo.
Updated: Switzerland vs Bosnia and Herzegovina, team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia 2026.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.
Taarifa muhimu za mechi Switzerland vs Bosnia and Herzegovina
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mchezo | Uswisi dhidi ya Bosnia na Herzegovina |
| Mashindano | Fainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026 |
| Kundi | Kundi B |
| Tarehe ya Mechi | 18 Juni 2026 |
| Eneo la Mchezo | Los Angeles, Marekani |
| Uwanja Utakaotumika | SoFi Stadium |
| Muda kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT) | Saa 4:00 usiku |
| Muda wa Los Angeles | Saa 9:00 alasiri kwa saa za wenyeji |
| Mambo Yatakayojadiliwa Kwenye Makala | Uchambuzi na utabiri wa mechi, taarifa za hivi karibuni za timu, vikosi vinavyotarajiwa kuanza, historia ya mikutano ya timu hizi (H2H), matokeo mubashara (live score) pamoja na viwango vya ubashiri (odds). |
| Jukwaa la Ubashiri | SportPesa |
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Switzerland vs Bosnia and Herzegovina, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Muhtasari wa Utabiri na uchambuzi wa mechi ya Switzerland vs Bosnia and Herzegovina

Hakuna nafasi ya kufanya makosa katika mchezo huu, ushindi kwa Switzerland na Bosnia and Herzegovina ni muhimu kuamua hatima yao. Matokeo ya mechi zao za kwanza yalikuwa Switzerland 1-1 Qatar, huku Bosnia and Herzegovina nao wakitoka sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Canada. Kutokana na mechi zote mbili za Kundi B kumalizika kwa sare ya 1-1, bado kila timu ina nafasi ya kufuzu hatua ya mtoano,
Yeyote atakayeshinda mchezo huu, anajiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya mtoano. Timu hizi mbili hazijawahi kukutana kwenye mashindano yoyote rasmi hapo kabla. Bosnia and Herzegovina hawajapoteza mechi yoyote, katika michezo yao tisa iliyopita. Rekodi hiyo itawapa imani kwamba wanaweza kufikisha pointi nne na kukaribia kufuzu hatua ya mtoano.
Kuhusu Ratiba ya mechi zote 104 za mashindano haya, soma hii: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina H2H
Timu hizi zimekutana mara moja tu, nah ii ilikuwa katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa Machi 29, 2016. Mechi hii ilipigwa huko Zurich, ambapo Bosnia and Herzegovina waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Chochote kinaweza kutokewa watakapokutana, kwani fomu ya sasa, ubora wa vikosi na nidhamu ya mbinu, vitaamua matokeo.
Table hii inachambua kwa urahisi fomu ya Switzerland vs Bosnia and Herzegovina
Fomu ya Switzerland kabla ya mechi
| Tarehe | Mpinzani | Mashindano | Matokeo | Muhtasari wa Mchezo |
|---|---|---|---|---|
| 13 Juni 2026 | Qatar | Kombe la Dunia la FIFA 2026 | Sare 1-1 | Breel Embolo aliifungia Uswisi kwa mkwaju wa penalti, lakini bao la kujifunga la Miro Muheim mwishoni mwa mchezo liliinyima timu hiyo ushindi. |
| 6 Juni 2026 | Australia | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Sare 1-1 | Pambano la tahadhari kubwa ambapo safu za ulinzi za timu zote mbili zilionyesha uimara kuelekea Kombe la Dunia. |
| 31 Mei 2026 | Jordan | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Ushindi wa 4-1 | Uswisi ilitoa maonyesho bora ya ushambuliaji katika Uwanja wa Kybunpark na kuibuka na ushindi mnono. |
| 31 Machi 2026 | Norway | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Sare 0-0 | Mechi ya kimkakati iliyokuwa na ushindani mkubwa, huku pande zote zikishindwa kutikisa nyavu. |
| 27 Machi 2026 | Germany | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Kipigo cha 4-3 | Mchezo wenye mabao mengi ulioonyesha uwezo wa kushambulia wa Uswisi, lakini pia ukaweka wazi mapungufu katika safu yao ya ulinzi. |
Fomu ya Bosnia and Herzegovina kabla ya mechi
| Date [1, 2, 3, 4, 5] | Opponent | Competition | Result | Score |
|---|---|---|---|---|
| 12 June 2026 | Canada (A) | FIFA World Cup Group B | Draw | 1–1 |
| 06 June 2026 | Panama (N) | International Friendly | Draw | 1–1 |
| 29 May 2026 | North Macedonia (H) | International Friendly | Draw | 0–0 |
| 31 March 2026 | Italy (H) | World Cup Playoff Final | Draw (Won 4–1 on pens) | 1–1 |
| 26 March 2026 | Wales (A) | World Cup Playoff Semi | Draw (Won 4–2 on pens) | 1–1 |
Vikosi vinavyotarajiwa kuanza
Hii hapa listi ya vikosi vinavyotarajiwa kuanza kulingana na fomu ya wachezaji, taarifa za awali za timu na mwenendo wa mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitathibitishwa karibu na muda wa mchezo.
Switzerland

| Nafasi | Wachezaji Wanaotarajiwa Kuanza |
|---|---|
| Kipa | Gregor Kobel |
| Walinzi | Denis Zakaria, Nico Elvedi, Manuel Akanji, Ricardo Rodriguez |
| Viungo | Michel Aebischer, Granit Xhaka, Remo Freuler, Dan Ndoye |
| Washambuliaji | Breel Embolo, Johan Manzambi |
Bosnia and Herzegovina
| Nafasi | Wachezaji Wanaotarajiwa Kuanza |
|---|---|
| Kipa | Nikola Vasilj |
| Walinzi | Amar Dedic, Nikola Katic, Tarik Muharemovic, Sead Kolasinac |
| Viungo | Esmir Bajraktarevic, Benjamin Tahirovic, Ivan Basic, Adrian Alajbegovic |
| Washambuliaji | Ermedin Demirovic, Jovo Lukic |
Kuhusu mechi ya England vs Croatia, soma hii: England vs Croatia FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, team news, lineups, H2H na odds | SportPesa Blog
Habari za timu na majeruhi
Kwa upande wa Switzerland kikosi chao hakina majeruhi na wako tayari kuikabili changamoto hii. Kwa Bosnia and Herzegovina, kuna wasiwasi kuhusu hali ya beki Sead Kolasinac, hii ni baada ya kupata maumivu mchezo dhidi ya Canada. Bado haijafahamika kama ameumia kwa kiwango gani.
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina utabiri Kombe la Dunia 2026 (Utabiri wetu: Switzerland 1-0 Bosnia and Herzegovina)
Kwa mujibu wa Opta na uchambuzi wa kitaalam kutoka mashirika mbalimbali, inatabiriwa matokeo yatakuwa Switzerland 1-0 Bosnia and Herzegovina. Utakuwa mchezo mgumu lakini Switzerland wanapewa nafasi kubwa zaidi. Zingatia, huu ni mtazamo wa kiuhariri, si matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.
Wachezaji bora
Switzerland
| Mchezaji | Nafasi | Mchango Wake kwa Timu ya Uswisi |
|---|---|---|
| Granit Xhaka | Kiungo | Nahodha huyo mwenye uzoefu mkubwa ndiye injini ya timu ya taifa ya Uswisi. Uwezo wake wa kusambaza pasi, kuongoza wenzake na kudhibiti mwelekeo wa mchezo humfanya kuwa mhimili mkuu wa kikosi. |
| Manuel Akanji | Beki | Ni nguzo imara katika safu ya ulinzi kutokana na uwezo wake wa kusoma mchezo, utulivu akiwa na mpira na umakini mkubwa katika kuzuia mashambulizi ya wapinzani. |
| Gregor Kobel | Kipa | Mlinda mlango wa kiwango cha juu anayetoa uhakika mkubwa langoni kupitia uwezo wake wa kuokoa hatari na kufanya maamuzi sahihi katika nyakati muhimu. |
| Breel Embolo | Mshambuliaji | Mshambuliaji mwenye nguvu za mwili na tishio la mabao. Ana uwezo wa kuwapa wakati mgumu mabeki wa kati kwa harakati zake, uimara wake na ubora wake ndani ya eneo la hatari. |
| Dan Ndoye | Winga | Huongeza kasi na ubunifu katika mashambulizi ya pembeni. Uwezo wake wa kupenya, kumiliki mpira na kuwatengenezea nafasi wenzake ni silaha muhimu kwa Uswisi. |
Bosnia and Herzegovina
| Mchezaji | Nafasi | Mchango Wake kwa Bosnia na Herzegovina |
|---|---|---|
| Edin Džeko | Mshambuliaji | Licha ya kuwa na umri wa miaka 40, nahodha huyu na mfungaji bora wa muda wote wa Bosnia bado ni tegemeo kubwa la timu. Uwezo wake wa kucheza mipira ya juu, kutumia uzoefu wake na umakini wake mbele ya lango humfanya kuwa tishio kubwa kwa wapinzani. |
| Ermedin Demirović | Mshambuliaji | Mshambuliaji huyu huleta nguvu, kasi ya kufanya presha na harakati nyingi bila mpira, jambo linalomfanya kuwa mshirika mzuri wa safu ya ushambuliaji. |
| Sead Kolašinac | Beki | Akiwa na uzoefu mkubwa wa kucheza katika kiwango cha juu, Kolašinac ni mhimili muhimu wa safu ya ulinzi kutokana na uimara wake, mapambano ya mwili na uwezo wa kuongoza wenzake. |
| Amar Dedić | Beki | Beki wa kisasa mwenye uwezo wa kutimiza majukumu ya ulinzi na kushambulia. Hutoa msaada mkubwa pembeni kwa kupandisha mashambulizi huku akiendelea kuwa imara katika kukaba. |
| Esmir Bajraktarević | Winga | Miongoni mwa vipaji vinavyochipukia vinavyovutia zaidi katika kikosi hiki. Ana kasi kubwa, uwezo wa kuwapita mabeki na ubunifu unaoweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo. |
Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa Switzerland kuibuka na ushindi dhidi ya Bosnia and Herzegovina. Hautakuwa mchezo rahisi, kwani timu inayoshinda itakuwa karibu kutinga hatua ya mtoano. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Switzerland vs Bosnia and Herzegovinakwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Kuhusu utabiri na uchambuzi wa mechi ya Uzbekistan vs Colombia, soma hii: Uzbekistan vs Colombia FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, H2H, lineups, odds
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina live score na matokeo
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi B baada ya mechi.
Maswali muhimu yanayoulizwa kuhusu mchezo huu
Mechi ya Switzerland vs Bosnia and Herzegovina itachezwa lini?
Mechi hii itapigwa Tarehe 18 June 2026 saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina ni kundi gani?
Huu ni mchezo wa Kundi B kwenye Kombe la Dunia 2026.
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina zimewahi kukutana?
Timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano rasmi, alkini zimewahi kukutana kwenye mechi ya kirafiki na Bosnia and Herzegovina kushinda 2-0.
Utabiri wa Switzerland vs Bosnia and Herzegovina ni upi?
Utabiri wetu wa kiuhariri ni Switzerland 1-0 Bosnia and Herzegovina
Switzerland vs Bosnia and Herzegovina itachezwa uwanja gani?
Mechi hii itachezwa Uwanja wa Los Angeles
Jinsi ya kuangalia (How to watch) Switzerland vs Bosnia and Herzegovina
Mashabiki wanaweza kufuatilia Switzerland vs Bosnia and Herzegovina kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

