MARUMO VS YANGA -Nani kati yao kwenda fainali?
Kimbembe cha mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, kitapigwa Mei 17, 2023 ambapo timu ya Marumo Gallants, watakuwa nyumbani nchini South Africa wakijaribu kupindua matokeo…
Kimbembe cha mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, kitapigwa Mei 17, 2023 ambapo timu ya Marumo Gallants, watakuwa nyumbani nchini South Africa wakijaribu kupindua matokeo…
Klabu ya Polisi Tanzania leo alasiri inatimba uwanjani kupambana na timu ya Mtibwa Sugar, katika uwanja wa Ushirika Moshi, katika mechi za kumalizia msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania,…
Nusu fainali ya kwanza ya Klabu bingwa Afrika inanguruma leo Jumamosi ya Mei 13,2023 ambapo majira ya saa 4 usiku katika uwanja wa Stade Mohammed V, mabingwa mara 3, Wydad…
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, NBC Premier League bara inaendelea leo Ijumaa kwa mechi kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu shooting, wakati KMC watawavaa Singida Big Stars. Mchezo wa…
Usiku wa Ulaya unaendelea leo hii kwa michezo miwili ya mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la UEFA Europa kupigwa nchini Italia baina ya Juventus VS Sevilla na As…
Patashika nguo kuchanika ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kinashika kasi ambapo kesho Jumatano kuanzia majira ya Saa 10 Jioni, Klabu ya Wananchi Yanga (Tanzania),…
Kesho Jumanne ya Mei 9, 2023 katika dimba la Santiago Bernabeu nchini Uhispania utapigwa mchezo kabambe wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Ulaya kati…
Waswahili wanamsemo ‘’hakuna linaloshindikana chini ya Jua’’. Hivi ndivyo msemo huu ulioasisiwa na mababu zetu ulivyotimia kwa Seif Kundi Seif, mfanyakazi wa hoteli anayepatikana maeneo ya Amani kisiwani Zanzibar. Kijana…
Kesho katika dimba la St. James Park, Newcastle United watakuwa wanawaalika washika mitutu wa London, klabu ya Arsenal ambao ndio vinara wa Ligi kuu ya England EPL. Newcastle wapo katika…