Gabon U23 vs Egypt U23- Africa Nations Cup U23 inazidi kunoga
Leo Jumamosi ya Tarehe 1- Julai 2023, pale katika Uwanja wa Grand Stade De Tanger utapigwa mchezo wa pili wa kundi B, wa kombe la Africa Nations Cup U-23 ,…
Leo Jumamosi ya Tarehe 1- Julai 2023, pale katika Uwanja wa Grand Stade De Tanger utapigwa mchezo wa pili wa kundi B, wa kombe la Africa Nations Cup U-23 ,…
Ikiwa leo ndio tamati ya Ligi kuu Tanzania bara, Yaani NBC Premier League msimu wa 2022/23, mchuano mkali upo katika kipengele cha mfungaji bora baina ya Fistona Mayele dhidi ya…
Kesho katika dimba la St. James Park, Newcastle United watakuwa wanawaalika washika mitutu wa London, klabu ya Arsenal ambao ndio vinara wa Ligi kuu ya England EPL. Newcastle wapo katika…
Timu ya Brighton Hove Albion leo usiku inashuka dimbani katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, almaarufu kama EPL. Licha ya kufanya vizuri ndani ya msimu huu imeendelea…
MANCHESTER United kesho inaikaribisha timu ya Sevilla inayoshiriki Ligi kuu ya Uhispania katika mchezo wa ngwe ya kwanza ya robo fainali ya michuano ya ligi ya Europa, utakaochezwa katika Uwanja…
Ukizungumzia mechi kali za mpira katika bara la Ulaya kwa siku ya kesho, basi uwezi kuacha kutaja mechi kati ya timu ya Manchester City dhidi ya Bayern Munich. Mechi ya…
MOTO utawaka Barani Ulaya ambako miamba ya soka baina ya Chelsea na Liverpool katika ligi ya English Premier League, almaarufu kama EPL watapambana katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu…
SH 10,681,562 JACKPOT BONUS YA SPORTPESA Mkulima wa mpunga, kutoka wilaya ya Kaliua, Tabora Peter Andrew Dotto, ameshinda Sh 10,681,562, katika Jackpot Bonus ya Sportpesa ya katikati ya wiki, baada…
Bilioni 1.2 Za Jackpot Ya Sportpesa Zaenda Kiluvya Historia ya kutengeneza Bilionea Sportpesa! Dar es Salaam. 18 Mei ,2022. KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa leo imemtambulisha rasmi mshindi wa…