YANGA Vs MAMELODI, SIMBA Vs AL AHLY ROBO FAINALI AFRIKA 2024
BAADA ya subira ya muda mrefu, hatimaye droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika rasmi leo Jumanne kwenye makao makuu ya Shirikisho la…
BAADA ya subira ya muda mrefu, hatimaye droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika rasmi leo Jumanne kwenye makao makuu ya Shirikisho la…
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa kesho Ijumaa dhidi ya Namungo, uongozi wa Yanga umetamba kuwa umejipanga kuhakikisha unaendeleza kasi ya vipigo na kuvuna pointi zote 12 kwenye mwezi huu Machi.…
KUELEKEA mchezo wao wa leo Jumatano dhidi ya Tanzania Prisons, uongozi wa Simba umetamba kuwa umejipanga kuendeleza shangwe kwa mashabiki wao kwa kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi. Simba wanatarajia kuingia…
HATUA ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemalizika kwa staili ya aina yake ambapo Tanzania imekuwa Taifa pekee ambalo limefanikiwa kutoa timu mbili ambazo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo…
ZIMEBAKI saa chache tu, kabla ya kushuhudia mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya wawakilishi wa Tanzania Simba na Jwaneng Gallaxy ambao unatarajiwa kupigwa kwenye dimba la…
HUKU balaa la kiungo, Zouzoua Pacome wa Yanga likiendelea kuwapa shangwe mashabiki wa Yanga la ushindi mkubwa dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria juzi Jumamosi, habari njema kwao ni kuwa…
KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad ambao unatarajiwa kupigwa kesho Jumamosi, habari ya mjini kwa sasa ni mtindo wa kupaka rangi nywele…