- Mechi yakukata na shoka Yanga SC vs Geita Gold NBC Premier League, Uwanja wa KMC Complex saa 1:00 usiku
- Geita Gold na Yanga SC wamecheza jumla ya mechi 7 tangu 2021 huku zote wananchi wakishinda
- Kikosi cha Yanga SC kimejumuisha wachezaji hodari wakiwemo Peter Shalulile, Maxi Nzengeli, Ibrahim Bacca huku Geita Gold wakiwa na Obrey Chirwa kinara wa ushambuliaji.
- Fuatilia matukio, lineups, stats, wachezaji na Livescores kupita SportPesa Score
Wababe wawili Yanga SC vs Geita Gold wanatarajiwa kukutana leo NBC Premier League. Mchezo huu mkali utachezwa Uwanja wa KMC Complex saa 1:00 usiku. Wananchi wanaingia uwanjani wakiwa wanaongoza ligi na pointi 15 wapinzani wao nafasi ya 9 na pointi 7 wote wamecheza mechi 5.
Taarifa muhimu Yanga SC vs Geita Gold NBC Premier League

Ijue ratiba ya ligi mzunguko wa 6: Ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 6 | Azam FC vs Simba SC | Yanga SC vs Geita Gold | Livescores
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Mchezo | Yanga SC vs Geita Gold |
| Uwanja | KMC Complex |
| Tarehe | Septemba 15, 2026 Jumanne |
| Muda | Saa 1:00 usiku |
H2H Yanga SC vs Geita Gold
Yanga SC vs Geita Gold wamekutana mara 7 katika mashindano tofauti tangu 2021. Kwenye mechi hizo 6 ni ligi na mchezo mmoja ulikuwa ni CRDB Federation Cup matokeo ilikuwa Yanga SC 1-0 Geita Gold. Katika mechi zote hizo Yanga SC aliibuka na ushindi.
| Tarehe | Matokeo |
| 2/10/2021 | Yanga SC 1-0 Geita Gold |
| 6/03/2022 | Geita Gold 0-1 Yanga SC |
| 29/10/2022 | Geita Gold 0-1 Yanga SC |
| 12/03/2023 | Yanga SC 3-1 Geita Gold |
| 07/10/2023 | Geita Gold 0-3 Yanga SC |
| 14/03/2024 | Yanga SC 1-0 Geita Gold |
Prediction Yanga SC vs Geita Gold
Kwa fomu waliyonayo Yanga SC kwenye ligi na rekodi zilizopita zinawabeba wenyeji. Vinara hawa wa ligi wenye pointi 15 hawajapoteza mchezo. Geita Gold kwenye mechi 5 imekusanya pointi 7 ikipoteza mchezo mmoja, ushindi mechi 2 na sare 2.
Matokeo yanaweza kuwa Yanga SC 4-1 Geita Gold. Mabao mengi yatapatikana kutokana na timu kuwa na safu imara za ushambuliaji. Lakini haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
Ratiba za mechi 10 za Yanga SC: Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mechi 10 zamoto / Kariakoo Dabi Oktoba 10,2026
Hitimisho
Yanga SC vs Geita Gold ni mchezo wakukata na shoka kwa wapinzani hawa. Uwepo wa Obrey Chirwa ndani ya Geita Gold akiwa na mabao 4 unaongeza mvuto zaidi. Yanga SC inajumuisha wachezaji hodari akiwemo Maxi Nzengeli ambaye ni kiungo mshambuliaji chaguo namba moja la kocha.

