Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27Mihambo
  • Hii hapa ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mechi 10 zamoto
  • Yanga SC ina ratiba ya mechi kali itafungua pazia Agosti 15,2026 itakuwa ugenini dhidi ya Namungo FC, Yanga SC vs Coastal Union itafuata.
  • Simba SC vs Yanga SC ni Oktoba 10,2026 Uwanja wa Uhuru

Hapa tumekuletea ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 msimu unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mechi 10 za mwanzo mabingwa watetezi watakuwa ugenini mechi 5 na nyumbani mechi 5. Mechi ya Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Agosti 10,2026 Uwanja wa Uhuru.

Mjue kocha mpya Yanga SC: Kocha mpya Yanga SC 2026/27 CV yake hii hapa kazi inaanza upya | SportPesa Blog

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27

Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27
Kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra.

Uwanja wa Yanga SC upo hivi: Uwanja mpya wa Yanga SC huu hapa | GSM 50/50 Wananchi, Ligi Kuu Bara (NBC Premier League)

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Ipo wazi kwa sasa ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mara baada ya kutangazwa rasmi na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB). Mechi ya kwanza itakuwa ugenini ni Namungo FC vs Yanga SC, Agosti 15,2026.

Na.TareheMechiUwanja
115 Agosti 2026Namungo FC vs Yanga SCMajaliwa
220 Agosti 2026Yanga SC vs Coastal UnionUhuru
324 Agosti 2026Yanga SC vs JKT TanzaniaUhuru
428 Agosti 2026Yanga SC vs Pamba Jiji FCUhuru
51 Septemba 2026Fountain Gate vs Yanga SCSheikh Amri Abeid
68 Septemba 2026Yanga SC vs Geita GoldUhuru
710 Oktoba 2026Simba SC vs Yanga SCUhuru
813 Oktoba 2026TRA United vs Yanga SCSheikh Amri Abeid
9TBADodoma Jiji FC vs Yanga SCJamhuri
1027 Oktoba 2026Yanga SC vs Mashujaa FCUhuru

Yanga SC mechi 5 za ugenini

Na.TareheMechiUwanja
115 Agosti 2026Namungo FC vs Yanga SCMajaliwa
21 Septemba 2026Fountain Gate vs Yanga SCSheikh Amri Abeid
310 Oktoba 2026Simba SC vs Yanga SCUhuru
413 Oktoba 2026TRA United vs Yanga SCSheikh Amri Abeid
5TBADodoma Jiji FC vs Yanga SCJamhuri

Mechi 5 za Yanga SC nyumbani

Na.TareheMechiUwanja
120 Agosti 2026Yanga SC vs Coastal UnionUhuru
224 Agosti 2026Yanga SC vs JKT TanzaniaUhuru
328 Agosti 2026Yanga SC vs Pamba Jiji FCUhuru
48 Septemba 2026Yanga SC vs Geita GoldUhuru
527 Oktoba 2026Yanga SC vs Mashujaa FCUhuru

Hitimisho

Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 ni mwanzo wa maandalizi ya msimu mpya. Hawa ni mabingwa watetezi chini ya mdhamini mkuu, SportPesa. Mbali na kuwa kwenye ligi wanakibarua cha kuperusha bendera katika CAF Champions League.

Share this: