Azam FC vs Simba SC NBC Premier League | H2H | Livescores | SportPesa Blog

Azam FC vs Simba SC NBC Premier LeagueFeisal SalumFeisal Salum
  • Mchezo mkali unawakutanisha Azam FC vs Simba SC NBC Premier League, Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.
  • Azam FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 3 inakutana na Simba SC iliyo nafasi ya 2 .
  • Mechi 5 zilizopita mnyama alipata ushindi zote, mbili ilikuwa Ligi ya Mabingwa Afrika na 3 kwenye ligi, matajiri wa Dar katika mechi 5 zilizopita ushindi 4 na sare 1.
  • Fuatilia stats, lineupes, livescores kupitia SportPesa Score

Mzizima Dabi ni Azam FC vs Simba SC NBC Premier League Septemba 16, 2026. Simba SC kwenye msimamo ni nafasi ya pili ikiwa na pointi 15 inakutana na Azam FC iliyo nafasi ya 3 na pointi 14. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Matajiri wa Dar wamejumuisha wachezaji wao wakiwemo Feisal Salum, Himid, Aishi Manula huku Mnyama akiwajumuisha Clatous Chama, Libase Gueye na Kelvin Nashon.

Takwimu za Azam FC vs Simba SC: Azam FC vs Simba SC: Uchambuzi wa Kina na Utabiri wa Ligi Kuu Bara 2026/27

Azam FC vs Simba SC NBC Premier League
Gueye kiungo mshambuliaji wa Simba SC.

Vuna mamilioni sasa hivi ukipaisha kindenge

Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

Taarifa muhimu Azam FC vs Simba SC

KipengeleMaelekezo
MashindanoNBC Premier League
MchezoAzam FC vs Simba SC
UwanjaAzam Complex
SikuJumatano, saa 1:00 usiku
TareheSeptemba 16, 2026

Mechi 5 za Azam FC

07/09/2026, Azam FC 2-0 Namungo FC
31/08/2026, Kagera Sugar 0-2 Azam FC
28/08/2026, Geita Gold 2-2 Azam FC
23/08/2026, Azam FC 2-1 Pamba Jiji FC
20/08/2026, Azam FC 2-1 Tabora United

Mechi 5 za Simba SC

13/09/2026, Simba SC 6-1 Mighty Wanderers
06/09/2026, Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
31/08/2026, Simba SC 2-0 Geita Gold
27/08/2026, Simba SC 1-0 Coastal Union
22/08/2026, Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Mechi 7 Azam FC vs Simba SC

05/04/2026, Azam FC 0-0 Simba SC
07/12//2025, Simba SC 0-2 Azam FC
24/02/2025, Simba SC 2-2 Azam FC
26/09/2024, Azam FC 0-2 Simba SC
09/05/2024, Azam FC 0-3 Simba SC
09/02/2024, Simba SC 1-1 Azam FC
21/02/2023, Simba SC 1-1 Azam FC

Azam FC vs Simba SC: Simba SC vs Azam FC 2026 NMB Mapinduzi Cup/ Lineups, live score, prediction

Hitimisho

Azam FC vs Simba SC ni mchezo mkali unaotarajiwa kuwa moto wa kuotea mbali. Wababe hawa wawili wanapokutana matokeo yakushangaza hutokea. Hakuna mnyonge mbele ya mwenzake kutokana na uwekezaji ambao umefanyika ndani ya uwanja.

Share this: