- Hapa tumekuletea ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 6 ambao utakuwa na mechi kali zenye ushindani.
- Yanga SC vs Geita Gold utapigwa Uwanja wa KMC Complex na Azam FC vs Simba SC utapigwa Azam Complex.
- Kagera Sugar inayoburuza mkia itakuwa na kibarua kusaka pointi 3 muhimu dhidi ya Fountain Gate, Uwanja wa Kaitaba
- Fuatilia matukio, lineups, stats na livescores kupitia SportPesa Score
Kivumbi cha NBC Premier League kinaendelea kwa ratiba yenye mechi kali. Ni vita yakuwania ubingwa wa ligi ambao upo mikononi mwa Yanga SC yenye maskani yake Kariakoo. Ratiba ina mechi kali ikiwemo ile ya Mzizima Dabi, Azam FC vs Simba SC, Uwanja wa Azam Complex, Septemba 16, 2026.
Ijue ratiba na mechi zote: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi
Kupitia odds zilizoboreshwa kuna nafasi yakushinda mamilioni. Suka mkeka wako kwenye mechi zinazochezwa ikiwemo Dodoma Jiji FC vs Namungo. Bashiri kwa uwajibikaji.

Hii hapa ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 6 2026/27
| Tarehe | Timu | Uwanja |
| Septemba 9, 2026 | Mashujaa FC vs Singida Black Stars | Uwanja wa Lake Tanganyika |
| Septemba 11, 2026 | Dodoma Jij FC vs Namungo FC | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma |
| Septemba 12,2026 | Polisi Tanzania vs Mbeya City | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid |
| Septemba 12, 2026 | Coastal Union vs JKT Tanzania | Uwanja wa Mkwakwani |
| Septemba 13, 2026 | Pamba Jiji FC vs TRA United | Uwanja wa CCM Kirumba |
| Septemba 13,2026 | Kagera Sugar vs Fountain Gate | Uwanja wa Kaitaba |
| Septemba 15,2026 | Yanga SC vs Geita Gold | Uwanja wa KMC Complex |
| Septemba 16,2026 | Azam FC vs Simba SC | Uwanja wa Azam Comple |
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Kwenye msimamo wa ligi vinara ni Yanga SC wakiwa na pointi 15. Kagera Sugar wanaburuza mkia. Simba SC nafasi ya pili ikiwa na pointi 15 tofauti kwenye idadi ya mabao yakufunga na kufungwa.

Matokeo ya Simba SC: Simba SC: Matokeo, Ratiba na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27
Hitimisho
Kila mchezo katika ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 6 una mvuto wakipekee kutokana na maandalizi. Mwisho wa msimu timu mbili ambazo zitashika nafasi ya 15 na 16 zitashuka daraja na zile za nafasi ya 13 na 14 zitacheza Play Off. Endelea kufuatilia SportPesa Blog na ubashiri kwa uwajibikaji kupitia SportPesa.

