- Mchezo wa mwisho wa Kundi I, Norway vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026 utaamua nani atakuwa kinara
- Juni 26,2026 Ijumaa mchezo mkali unatarajiwa kuchezwa saa 4:00 kwa saa za Afrika Mashariki
- Timu hizi zote zimekata tiketi kufuzu hatua ya 32 bora, tumekuletea uchambuzi na takwimu kuelekea mchezo huu muhimu
Norway vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo wa kuthibitisha ubabe katika Kundi I. Mataifa haya yenye uwezo uwanjani yanakutana katika mchezo wa mwisho hatua ya makundi ikiwa ni raundi ya 3. Ni Ijumaa kwenye Uwanja wa Boston Stadium.Timu hizi mbili zenye nguvu zilianza kampeni zao kwa mafanikio makubwa, tayari zina nafasi ya kufuzu hatua ya 32 bora ya mashindano.
Ijue ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Norway vs Ufaransa maelezo muhimu
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mashindano | FIFA Kombe la Dunia 2026 |
| Mechi | Norway vs Ufaransa, Uwanja wa Boston |
| Hatua | Mchezo wa 3 wa Kundi I |
| Tarehe | Juni 26, 2026 |
| Muda wa kuanza | Saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) |
| Mechi nyingine muda huo | Senegal vs Iraq |
| Jukwaa la kubashiri | SportPesa |
| Umuhimu wa mechi | Kuamua mshindi wa Kundi I kati ya Norway na Ufaransa, ambazo tayari zimefuzu hatua ya 32 bora |
Norway vs Ufaransa taarifa kuhusu timu
Kikosi cha Norway chini ya kocha Ståle Solbakken kilionyesha kiwango katika mchezo wa pili wa kundi dhidi ya Senegal. Nyota wa Manchester City, Erling Haaland, alikuwa gumzo la mchezo huo baada ya kufunga mabao mawili katika kipindi cha pili.Mabao hayo yaliisaidia Norway kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Senegal na kuendelea kuimarisha nafasi yao kileleni mwa Kundi I kabla ya kukutana na Ufaransa katika mchezo wa kuamua mshindi wa kundi.
Ufaransa wanatajwa kuwa miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, wameendana na kasi ya ushindi ya Norway na hivyo ni mchezo mkali kuwania nafasi ya kwanza katika Kundi I. Les Bleus wanafahamu vyema kuwa ushindi dhidi ya Norway utawasaidia kumaliza hatua ya makundi wakiwa na rekodi ya asilimia 100 ya ushindi na kuwahakikishia kumaliza kileleni mwa kundi kabla ya kuingia hatua ya mtoano.
Muda wa kuanza kwa mechi ya Norway vs France

Mchezo huu umepangwa kuchezwa Ijumaa, Juni 26, katika Uwanja wa Boston Stadium. Saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki mchezo unatarajiwa kuanza.
Lineups expected: Norway vs Ufaransa
Hivi ni vikiso vya matarajijio kutokana na mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitatambulishwa saa moja kabla ya mchezo.
| Nafasi | Norway | Ufaransa |
|---|---|---|
| Kipa | Ørjan Nyland | Mike Maignan |
| Beki wa Kulia | Marcus Holmgren Pedersen | Jules Koundé |
| Beki wa Kati | Andreas Hanche-Olsen | Dayot Upamecano |
| Beki wa Kati | Leo Østigård | William Saliba |
| Beki wa Kushoto | Julian Ryerson | Theo Hernandez |
| Kiungo | Patrick Berg | Aurélien Tchouaméni |
| Kiungo | Sander Berge | Adrien Rabiot |
| Kiungo wa Kushambulia | Antonio Nusa | Michael Olise |
| Kiungo wa Kushambulia | Martin Ødegaard | Ousmane Dembélé |
| Mshambuliaji | Erling Haaland | Désiré Doué |
| Mshambuliaji | Alexander Sørloth | Kylian Mbappé |
H2H Norway VS Ufaransa
Norway na France zimekutana mara 16 katika mashindano mbalimbali na mechi za kirafiki.Kihistoria, Ufaransa imekuwa na ubabe kwa kushinda mechi 8, huku Norway ikishinda mechi 4. Mechi nyingine 4 zilimalizika kwa sare. Mchezo huu wa raundi ya tatu ya hatua ya makundi utakuwa mara ya kwanza kabisa kwa Norway na Ufaransa kukutana katika mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA.
Fomu ya Sasa
| Timu | Fomu ya Karibuni |
| Norway | Ushindi – Ushindi – Kipigo – Ushindi – Ushindi |
| Ufaransa | Ushindi – Ushindi – Ushindi – Sare – Ushindi |
Prediction Norway vs Ufaransa
Kutokana na viwango bora vya timu hizi zote mbili asilimia kubwa matokeo itakuwa ni sare. Safu ya ushambuliaji kwa kila timu kunatoa taswirwa kuwa kutakuwa na mabao mengi. Norway 2-2 Ufaransa. Haya ni maoni ya mhariri sio matokeo kamili.

Japan vs Sweden utabiri huu hapa: Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, lineups, odds, Kundi F
Jinsi ya Kubashiri na SportPesa
Fungua ukurasa wa mechi ya Norway vs Ufaransa kwenye SportPesa (link above)
Chagua aina ya masoko unayotaka kuweka dau lako – Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB)
Weka kiasi cha dau lako na uthibitishe.
Wapi kwa kutazama (How to watch) Norway vs Ufaransa Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Norway vs Ufaransa kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Norway vs Ufaransa utachezwa muda gani?
Mchezo huu utachezwa saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Ijumaa ya Juni 26,2026 Uwanja wa Boston, Marekani.
Magoli mangapi amefunga Erling Haaland FIFA Kombe la Dunia 2026?
Haaland amefunga magoli 4, magoli mawili dhidi ya Senegal na mawili dhidi ya Iraq katika mechi ya kwanza.
Norway na Ufaransa zimewahi kucheza mechi katika Kombe la Dunia kabla?
Hapana. Huu ni mchezo wa kwanza wanakutana.
Kuna timu ambayo inataka kushinda ili kufuzu 32 bora?
Hapana. Timu zote zimekata tiketi ya 32 bora mshindi wa mchezo atajihakikishia kumaliza Kundi I nafasi ya kwanza
Norway na Ufaransa zipo kundi gani?
Timu hizi zipo Kundi I pamoja na Senegal na Iraq. Baada ya mechi 2, Norway na Ufarasa zimekusanya pointi 6 huku Senegal na Iraq hizi zina 0 pointi.

