- South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026, kitawaka katika mechi ya mwisho ya Kundi A la mashindano hayo.
- Mechi hii itapigwa pale Estadio BBVA, au ukijulikana kama Estadio Monterrey, 25 June 2026 saa 10 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki.
- Hii ni vita ya Nyota Relebohile Mofoken na Khuliso Mudau dhidi ya jeshi la Song Heu-min.
- Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.
Wakiwa na pointi 1 tu, katika michezo yao miwili ya kwanza, kikosi cha South Africa kinajiandaa kucheza mechi ya kufa na kupona dhidi ya South Korea. Ni mechi ya South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026 itakayopigwa 25 June 2026 saa 10 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Estadio BBVA, au ukijulikana kama Estadio Monterrey. Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya South Africa vs South Korea
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Muhtasari wa mechi ya South Africa vs South Korea

| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mechi | Afrika Kusini vs Korea Kusini |
| Mashindano | Kombe la Dunia FIFA 2026 |
| Kundi | Kundi A |
| Tarehe ya Mechi | 25 Juni 2026 |
| Muda wa Kuanza | Saa 10:00 alfajiri (EAT) |
| Uwanja | Estadio BBVA, unaojulikana pia kama Estadio Monterrey |
| Mji | Monterrey, Mexico |
| Hatua ya Mashindano | Mzunguko wa Tatu wa Hatua ya Makundi |
| Hali ya Kundi Kabla ya Mechi | Korea Kusini wanashika nafasi ya pili, huku Afrika Kusini wakiwa nafasi ya nne |
| Mahitaji ya Afrika Kusini | Wanahitaji ushindi ili kufuzu hatua ya 32 bora |
| Mahitaji ya Korea Kusini | Sare au ushindi utawahakikishia nafasi ya kusonga mbele |
| Kocha wa Afrika Kusini | Hugo Broos |
| Kocha wa Korea Kusini | Hong Myung-bo |
| Mchezaji wa Kutazamwa – Afrika Kusini | Oswin Appollis |
| Mchezaji wa Kutazamwa – Korea Kusini | Son Heung-min |
| Umuhimu wa Mechi | Ni mchezo wa kuamua hatima ya timu zote mbili katika Kundi A |
| Shinikizo Kubwa | Afrika Kusini wako chini ya presha kubwa kwa kuwa matokeo yoyote tofauti na ushindi yataondoa matumaini yao ya kufuzu |
| Matarajio ya Mechi | Pambano la ushindani mkubwa kati ya timu inayopigania kufuzu moja kwa moja na timu inayohitaji ushindi wa lazima |
KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII PIA: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Utabiri wa Matokeo (sare)
Kwa kuzingatia uchambuzi wa takwimu za ubora, utimamu wa wachezaji na matokeo ya nyuma maoni yetu ya kiuhariri mchezo huu una nafasi kubwa ya kuisha kwa sare. Huu ni mchezo wa mzunguko mwisho wa hatua ya makundi, ndani ya Kundi A. South Africa wanaingia katika mchezo huu wakiwa mkiani mwa msimamo, hii ni baada ya kuambulia pointi moja tu, katika mechi 2 za kwanza. South Korea wao wanaingia katika mechi hii wakiwa wanakamatia nafasi ya pili, kwenye msimamo na pointi zao 3 na Mechi hii itatoa majibu ya nani anakwenda hatua ya 32 bora.
Wapi kwa kutazama (How to watch) South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya South Africa vs South Korea kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Habari za vikosi
Timu zote mbili zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa hazina majeruhi, lakini pigo kubwa kwa South Africa ni kumkosa kiungo wao Teboho Mokoena mwenye kadi. Hivyo mamatarajio makubwa ni kuona wakianza na vikosi vilevile. Ikumbukwe hizi ni taarifa za awali, hivyo taarifa rasmi juu ya hali ya majeruhi kwenye vikosi zitatolewa saa chache kabla ya mchezo.
Vikosi vinavyotarajiwa South Africa vs South Korea
South Africa
| Nafasi | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Williams |
| Walinzi | Mudau, Okon, Mbokazi, Modiba |
| Viungo | Mbatha, Adams, Sithole |
| Washambuliaji | Maseko, Mofokeng, Appollis |
South Korea

| Nafasi | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Kim |
| Walinzi | Lee, Kim, Lee, Kim |
| Viungo | Hwang, Paik, Seol, Lee |
| Washambuliaji | Lee, Son |
KUJUA RATIBA YA MECHI INAYOFUATA YA BRAZILI, SOMA HII: Scotland vs Brazil FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, match preview, odds, msimamo
Rekodi ya South Africa vs South Korea H2H
Huu utakuwa mchezo wa kwanza kabisa kati ya South Africa vs South Korea, kwani kwa rekodi ya sasa hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote hapo awali.
Fomu ya South Africa
| Tarehe | Mechi | Matokeo | Hali |
|---|---|---|---|
| 18 Juni 2026 | Czechia 1-1 Afrika Kusini | Sare | Sare |
| 11 Juni 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Kipigo cha Afrika Kusini | Kipigo |
| 7 Juni 2026 | Jamaica 0-1 Afrika Kusini | Ushindi wa Afrika Kusini | Ushindi |
| 29 Mei 2026 | Afrika Kusini 0-0 Nicaragua | Sare | Sare |
| 31 Machi 2026 | Afrika Kusini 1-2 Panama | Kipigo cha Afrika Kusini | Kipigo |
Fomu ya South Korea
| Tarehe | Mechi | Matokeo | Hali |
|---|---|---|---|
| 19 Juni 2026 | Mexico 1-0 Korea Kusini | Kipigo cha Korea Kusini | Kipigo |
| 12 Juni 2026 | Korea Kusini 2-1 Czechia | Ushindi wa Korea Kusini | Ushindi |
| 4 Juni 2026 | Korea Kusini 1-0 El Salvador | Ushindi wa Korea Kusini | Ushindi |
| 31 Mei 2026 | Korea Kusini 5-0 Trinidad na Tobago | Ushindi wa Korea Kusini | Ushindi |
| 31 Machi 2026 | Austria 1-0 Korea Kusini | Kipigo cha Korea Kusini | Kipigo |
Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unayapa nafasi kubwa matokeo ya sare kwenye mchezo huu, hii ni kutokana na tathmini ya ubora wa vikosi na kimbinu. Mechi hi itaamua nani anakwenda hatua inayofuata, South Africa anahitaji matokeo ya ushindi ili kufuzu na South Korea wakihitaji angalau sare. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za South Africa vs South Korea kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Maswali muhimu kuhusu South Africa vs South Korea
South Africa vs South Korea inachezwa lini na saa ngapi?
Timu hizi zitakutana Alhamisi, Juni 25, pale Estadio BBVA, au ukijulikana kama Estadioambapo mechi itaanza Saa 10:00 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Je, South Africa vs South Korea zimewahi kukutana hapo awali?
Hapana, timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mechi yoyote hapo kabla kwa rekodi zilizopo, hivyo huu utakuwa mkutano wao wa kwanza wa kihistoria.
South Africa na South Korea zipo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?
Timu zote mbili zipo Kundi A pamoja na Mexico na Czechia.
KUJUA RATIBA YA MECHI INAYOFUATA YA CROATIA, SOMA HII: Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, match preview, odds

