- Morocco vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa Kundi C
- Kickoff ni saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki huku Morocco kutoka Afrika ikipewa asilimia kubwa kuibuka na ushindi.
- Haiti katika mechi mbili haipata ushindi, tumekuletea takwimu za mechi zilizopita na utabiri
Mchezo mkali wa Morocco vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya makundi kwa Kundi C utapigwa Juni 25, 2026. Saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki wababe hawa watakuwa uwanjani. Morocco inapewa nafasi kushinda kutokana na mpinzani wake Haiti kutofunga kwenye mech izote mbili za hatua ya makundi.
Hii hapa ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Morocco vs Haiti, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | FIFA Kombe la Dunia 2026 |
| Hatua | Makundi, mchezo wa 3 Kundi C |
| Mchezo | Morocco vs Haiti |
| Muda | Saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki |
| Tarehe | Juni 25, 2026 |
| Uwanja | Atlanta, Marekani |
| Jukwaa la kubashiri | SportPesa |
Hali ya Kundi C
| Nafasi | Taifa | Mechi | Pointi | Matokeo |
| 1 | Brazil | 2 | 4 | Ushindi 1, Sare 1 |
| 2 | Morocco | 2 | 4 | Ushindi 1, Sare 1 |
| 3 | Scotland | 2 | 3 | Ushindi 1, Kichapo 1 |
| 4 | Haiti | 2 | 0 | Kichapo 2 |
Morocco vs Haiti taarifa muhimu

Zijue takwimu na utabiri England vs Ghana Kombe la Dunia : England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026 Prediction: Match preview, odds, team news
Hii mechi ni muhimu kwa Morocco kwani ushindi utawaweka salama kwenye hatua ya mtoano. Haiti watacheza kwa heshima na kutafuta angalau bao la kufutia machozi ama pointi 3. Morocco na Haiti wanakutana katika mchuano wa mwisho wa Kundi C, na tofauti ya viwango kati ya timu hizi mbili ni dhahiri. Morocco, waliokuwa taifa la kwanza la Afrika kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022, wameendeleza kasi hiyo kwa sare dhidi ya Brazil na ushindi wa 1-0 dhidi ya Scotland.
Morocco Walifuzu mashindano haya kwa rekodi kamili ya CAF, wakishinda mechi zote tano, wakifunga mabao 12 na kuruhusu moja pekee. Atlas Lions ni timu yenye nidhamu, uzoefu na sasa wanazidi kuwa hatari zaidi katika mashambulizi, wakitegemea wachezaji kama Brahim Diaz, Ismael Saibari na Ayoub El Kaabi.
Kwa upande wa Haiti, hii ni mara yao ya kwanza kushiriki Kombe la Dunia tangu 1974, lakini changamoto ya kiwango cha juu imekuwa wazi. Wamepoteza mechi zote mbili bila hata shuti lililolenga lango, wakichapwa 1-0 na Scotland na 3-0 na Brazil. Kikosi chao kimejaa wachezaji kutoka ligi za daraja la chini Ulaya na MLS, na ingawa kufuzu kutoka CONCACAF ni mafanikio, ni wazi watapata ugumu kuhimili ubora wa Morocco kwa dakika 90. Kwa hali ya kundi na nguvu ya kikosi.
Prediction: Morocco vs Haiti
Kwa mechi mbili na ubora Morocco wamekuwa imara. Opta Analyst anaipa ushindi Morocco kwa asilimia 81.2. Matokeo ni Morocco 3-0 Haiti haya ni maoni ya mhariri sio matokeo kamili.
H2H Morocco vs Haiti
Morocco vs Haiti Juni 25,2026 utakuwa mchezo wa kwanza kukutana katika FIFA Kombe la Dunia. Rekodi zinaonyesha kuwa hivi karibuni hazijawahi kucheza mchezo wa ushindani. Hii ni kutokana na kuwa ligi tofauti.
Namna ya kubashiri kwenye SportPesa
Fungua ukurasa wa tukio la Morocco vs Haiti SportPesa
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Morocco vs Haiti fomu ya timu
| Timu | Mechi | Matokeo |
| Morocco | Scotland (A) | Ushindi 1-0 (Kombe la Dunia) |
| Brazil (A) | Sare 1-1 (Kombe la Dunia) | |
| Norway (N) | Sare 1-1 (Kirafiki) | |
| Madagascar (H) | Ushindi 4-0 (Kirafiki) | |
| Burundi (H) | Ushindi 5-0 (Kirafiki) | |
| Muhtasari | Morocco vs Brazil ilikuwa sare na kushinda dhidi ya Scotland. Ushindi mkubwa wa kirafiki unaonyesha uwezo wa safu ya ushambuliaji. |
| Timu | Mechi | Matokeo |
| Haiti | Brazil (A) | Kichapo 0-3 (Kombe la Dunia) |
| Scotland (H) | Kichapo 0-1 (Kombe la Dunia) | |
| Peru (N) | Kichapo 1-2 (Kirafiki) | |
| New Zealand (N) | Ushindi 4-0 (Kirafiki) | |
| Iceland (N) | Sare 1-1 (Kirafiki) | |
| Muhtasari | Ushindi wa 4-0 dhidi ya New Zealand ulionyesha uwezo wa kufunga dhidi ya wapinzani dhaifu, lakini kiwango cha Kombe la Dunia kimewaumbua. Wamefungwa mabao 4 katika mechi mbili na hawajafunga hata moja, wakionyesha makosa eneo la ulinzi. |
Morocco vs Haiti habari za vikosi
| Timu | Kikosi Kinachotarajiwa | Mfumo |
| Morocco | Bounou; Hakimi, Aguerd, Riad, Mazraoui; Amrabat; El Khannouss (c), Ounahi, Saibari, Diaz; El Kaabi | 4-1-4-1 |
| Haiti | Placide; Ade, Duverne, Arcus, Paugain; Etienne Jr., Bellegarde, Jean Jacques, Louicius; Nazon, Pierrot | 4-4-2 |
· Morocco wamewasili Atlanta wakiwa na kikosi kamili na kilicho imara, bila majeraha au kusimamishwa kwa wachezaji muhimu. Walid Regragui anaweza kuzungusha baadhi ya mastaa wake, lakini nia ya kuongoza kundi itamfanya aweke kikosi bora kuanzia mwanzo.
· Haiti, baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, wanakabiliwa na changamoto ya kudumisha morali. Sebastien Migne anaweza kuwapa nafasi wachezaji wa akiba kupata uzoefu wa Kombe la Dunia, huku akitegemea uzoefu wa Johny Placide golini na washambuliaji Duckens Nazon na Frantzdy Pierrot kutafuta bao lao la kwanza baada ya zaidi ya miaka 50.
Hii hapa mechi kali nyingine ya Kundi C: Scotland vs Brazil FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, match preview, odds, msimamo
Wapi kwa kutazama (How to watch) Morocco vs Haiti Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Morocco vs Haiti kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Maswali muhimu kuhusu Morocco vs Haiti
Morocco vs Haiti inaanza saa ngapi?
Mchezo huu unaanza saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Morocco vs Haiti zinakutana lini?
Timu hizi zitakutana Alhamisi, Juni 25, 2026
Morocco vs Haiti zitacheza uwanja gani?
Timu hizi zitakutana Uwanja wa Atlanta.
Morocco vs Haiti zipo kundi gani?
Morocco vs Haiti zipo Kundi C pamoja na Scotland, Brazil Kombe la Dunia 2026.

