- Mchezo wa mwisho Kundi B hatua ya makundi Switzerland vs Canada FIFA Kombe la Dunia 2026 Juni 24
- Kwa Afrika Mashariki itakuwa saa 4:00 usiku mchezo mkali utachezwa Uwanja wa BC Place, Vancouver
- SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa kina, taarifa za wachezaji na fomu za timu
Ni Switzerland vs Canada FIFA Kombe la Dunia 2026 Juni 24, saa 4:00 usiku mchezo wa Kundi B. Hii ni mechi yao ya mwisho ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 itachezwa Uwanja wa BC Place.Canada anaongoza kundi akiwa na pointi 4 anakutana na Switzerland yenye pointi 4 pia nafasi ya pili.Canada walionyesha ubabe wao kwa kuichapa Qatar mabao 6-0 na kupanda kileleni kwa tofauti ya mabao, huku Switzerland wakipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Bosnia na Herzegovina baada ya kutoka sare siku ya ufunguzi.
Kamata ratiba ya FIFA Kombe la Dunia: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi yaSwitzerland vs Canada, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Taarifa muhimu Switzerland vs Canada
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mashindano | FIFA Kombe la Dunia 2026 |
| Hatua | Makundi, mchezo wa 3 |
| Kundi | Kundi B |
| Mechi | Switzerland vs Canada |
| Uwanja | BC Place, Vancouver |
| Tarehe | Juni 24, 2026 |
| Muda | Saa 4:00 usiku (EAT) |
Vikosi vinavyotarajiwa Switzerland vs Canada

Hivi ni vikosi kulingana na mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitatolewa saa moja kabla ya mchezo
| Timu | Kikosi | Mfumo |
| Switzerland | Gregor Kobel; Denis Zakaria, Nico Elvedi, Manuel Akanji, Ricardo Rodriguez; Michel Aebischer, Granit Xhaka, Remo Freuler; Dan Ndoye, Breel Embolo, Ruben Vargas | 4-3-3 |
| Canada | Maxime Crepeau; Alistair Johnson, Luc De Fougerolles, Derek Cornelius, Alphonso Davies; Richie Laryea, Stephen Eustáquio, Ismaël Koné, Jacob Shaffelburg; Cyle Larin, Jonathan David | 4-4-2 |
- Switzerland: Kocha Murat Yakin anatarajiwa kumweka Breel Embolo kuongoza safu ya ushambuliaji, huku kijana Johan Manzambi akibaki silaha ya kipindi cha pili licha ya kufunga mara mbili dhidi ya Bosnia.
- Canada: Kocha Jesse Marsch atamrudisha nyota Alphonso Davies kwenye kikosi cha kwanza baada ya kupumzishwa kwenye ushindi wa 6-0 dhidi ya Qatar.
Rekodi ya mechi Switzerland vs Canada
Head-to-Head
- Switzerland na Canada wamekutana mara moja pekee katika historia ya soka la wanaume.
- Mechi hiyo ya kirafiki Mei 2002 iliisha kwa ushindi wa 3-1 kwa Wakanada.
- Hii itakuwa mara ya kwanza kwa mataifa haya kukutana kwenye mechi ya ushindani wa Kombe la Dunia.
Fomu ya Sasa
- Switzerland: D–D–L–D–W
- Canada: L–W–L–D–W
Prediction Switzerland vs Canada

Kuelekea mechi ya mwisho hatua ya makundi Switzerland vs Canada ni asilimia 41.9 anapewa Switzerland. Canada anapewa asilimia 29.8. Kwa mujibu wa Opta Analyst. Matokeo itakuwa Switzerland 3-1 Canada. Haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
Namna ya kubashiri Switzerland vs Canada na SportPesa
Fungua ukurasa wa tukio la Switzerland vs Canada kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.
Wapi kwa kutazama (How to watch) Switzerland vs Canada Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi yaSwitzerland vs Canada kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Maswali muhimu kuhusu Switzerland vs Canada
Switzerland vs Canada inaanza saa ngapi?
Mchezo huu unaanza saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Switzerland vs Canada inachezwa tarehe ngapi?
Switzerland vs Canada inachezwa Juni 24, 2026
Switzerland vs Canada inachezwa uwanja gani?
Mchezo huu unachezwa Uwanja wa BC Place Vancouver
Switzerland vs Canada ni kundi gani?
Timu hizi zipo Kundi B pamoja na Bosnia na Herzegovina, Qatar.

