Turkey vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026Ferdi
  • Ni Turkey vs Paraguay prediction FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo unaotarajiwa kuchezwa Juni 20, 2026 hatua ya makundi.
  • SportPesa Blog imekuandalia makala yenye takwimu, lineups, fomu za timu kwa sasa kuelekea mchezo huo wa Kundi D
  • Head to Head inakwenda kuandikwa katika mchezo mkubwa utakaochezwa uwanja wa Levi’s.

Turkey vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo wa kundi D Juni 20, 2026 saa 9:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Imepita miaka 24 Turkey wanarejea kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza. Hii ni mara yao ya tatu kushiriki mashindano haya. Paraguay, wanarejea Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu robo fainali ya Afrika Kusini 2010, na hii ni mara yao ya tisa kushiriki.

Updated: Turkey vs Paraguay team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia 2026.

Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Turkey vs Paraguay angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Turkey
Turkey vs Paraguay Odds

Turkey vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 utachezwa Uwanja gani?

Turkey vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026
Gustavo Gomez nyota wa Paraguay.

Ni mchezo wenye ushindani mkubwa Turkey vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 utachezwa katika Uwanja wa Levi’s. Turkey watataka kushambulia kwa presha ya juu na kutumia ubora wa wachezaji binafsi katika eneo la mwisho. Paraguay watajaribu kuvuruga na kushambulia kwa kushtukiza, kama walivyofanya katika mchujo wa CONMEBOL. Timu itakayoweza kuweka kasi yake tangu dakika ya kwanza ndiyo itakayochukua alama 3.

Fomu ya Turkey vs Paraguay katika mechi 5 zilizopita


Timu
MechiMatokeoMashindano
TurkeyAustralia (u)Ilipoteza 0-2Kombe la Dunia 2026 Kundi D
Venezuela (n)Ilishinda 2-1Kirafiki
North Macedonia (h)Ilishinda 4-0Kirafiki
Kosovo (u)Ilishinda 1-0Mchujo wa Kombe la Dunia
Romania (n)Ilishinda 1-0Mchujo wa Kombe la Dunia
ParaguayMarekani (u)Ilipoteza 1-4Kombe la Dunia 2026 Kundi D
Nicaragua (n)Ilishinda 4-0Kirafiki
Morocco (n)Ilipoteza 1-2Kirafiki
Ugiriki (u)Ilishinda 1-0Kirafiki
Mexico (n)Ilishinda 2-1Kirafiki

Hii hapa ratiba ya Brazil: Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, prediction, h2h

Turkey vs Paraguay mapambano na habari za kikosi

Turkey
Turkey

Head-to-Head Turkey vs Paraguay na utabiri

Turkey vs Paraguay hawajawahi kukutana katika mashindano ya kimataifa. Ni mataifa kutoka mashirikisho tofauti na mizunguko yao ya Kombe la Dunia mara chache imeingiliana. Hivyo hakuna rekodi ya moja kwa moja. Hali hii inafanya fomu ya sasa, kina cha kikosi na muktadha wa mashindano kuwa viashiria vikuu vya utabiri wa mechi hii na kwa kipimo hicho, Turkey wanaonekana kuwa na nguvu zaidi.

Habari za Kikosi cha Turkey

KipengeleMaelezo
KochaVincenzo Montella
KiungoHakan Çalhanoğlu (caps 105, mabao 22 — Inter Milan)
UshambuliajiArda Güler (Real Madrid), Kenan Yıldız (Juventus), Kerem Aktürkoğlu (Fenerbahçe)
Beki wa kushotoFerdi Kadıoğlu (Brighton) — uzoefu wa Ligi Kuu England
Hali ya kusimamishwaHakuna kusimamishwa rasmi baada ya mechi ya kwanza

Habari za Kikosi cha Paraguay

KipengeleMaelezo
PreshaBaada ya kipigo cha 4-1 dhidi ya Marekani, wanakabiliwa na presha kubwa
UlinziGustavo Gómez na Junior Alonso safu ya ulinzi yenye uzoefu
UbunifuMiguel Almirón ( mabao 10, Atlanta United FC) ndiye kitovu cha mashambulizi
Tishio la mabaoJulio Enciso (Strasbourg) analeta nguvu na hatari ya mabao
MfungajiMauricio alifunga bao la kufutia machozi dhidi ya Marekani bao pekee la Paraguay hadi sasa

Hali ya Timu

Hakuna majeraha yaliyothibitishwa kwa pande zote mbili. Changamoto kubwa ni athari ya kisaikolojia kutokana na vipigo vya ufunguzi. Makocha wote wanatarajiwa kutaja vikosi kamili, huku nafasi ya kufuzu ikiwa hatarini.

Kikosi Kinachotarajiwa

Turkey (4-2-3-1)

NafasiMchezaji
KipaUgurcan Cakir
Beki wa kuliaZeki Celik
Beki wa katiMerih Demiral
Beki wa katiOzan Kabak
Beki wa kushotoFerdi Kadioglu
KiungoHakan Calhanoğlu (c)
KiungoSalih Ozcan
Kiungo mshambuliajiArda Guler
Kiungo mshambuliajiOrkun Kokcu
WingaKenan Yildiz
MshambuliajiKerem Akturkoglu

Paraguay (4-4-2)

NafasiMchezaji
KipaGatito Fernandez
Beki wa kuliaJuan Jose Caceres
Beki wa katiGustavo Gomez (c)
Beki wa katiJunior Alonso
Beki wa kushotoOmar Alderete
Kiungo wa kuliaRamon Sosa
Kiungo wa katiAndres Cubas
Kiungo mshambuliajiMiguel Almirón
Kiungo wa katiDiego Gomez
MshambuliajiJulio Enciso
MshambuliajiAntonio Sanabria

Usome utabiri wa Mexico vs South Korea: Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, kick off, team news, odds, h2h

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Turkey vs Paraguay

Mashabiki wanaweza kufuatilia Turkey vs Paraguay kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: