- Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia Brazil wanatafuta ushindi kwenye mchezo wa Kundi C, Juni 20, 2026
- Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026 utachezwa Uwanja wa Lincoln Financial Field huko Philadelphia.
- Brazil 1-1 Morocco ni matokeo ya mchezo wa kwanza Kundi C na bao la kusawazishwa lilifungwa na Vinicius Junior
Mchezo mkali kutoka Kundi C ujao ni Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026. Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, Brazil wanatafuta ushindi wao wa kwanza 2026 watakapokutana na Haiti Ijumaa alfajiri huko Philadelphia. Katika mchezo wa kwanza wa Kundi C, Brazil walilazimishwa sare ya 1-1 Morocco. Ni Vinícius Júnior alifunga bao la kusawazisha kwa ustadi mkubwa. Kwa sasa Brazil wapo nafasi ya 3 wakiwa na alama moja.
Updated: Brazil vs Haiti team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia 2026.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Brazil vs Haiti angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Ifuatilie ratiba kamili ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026 team news

Deni la England na Croatia lipo namna hii: England vs Croatia FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, team news, lineups, H2H na odds | SportPesa Blog
Haiti, ambao wamerudi Kombe la Dunia baada ya miaka 52, walipoteza kwa taabu 1-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wao wa kwanza. Matokeo hayo yamewaacha mkiani mwa kundi, na sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa dhidi ya Brazil. Kwa viwango vya FIFA, Brazil wako nafasi ya 6 duniani huku Haiti wakiwa nafasi ya 83.
Brazil hawajashinda taji tangu 2002, na mashabiki wamatarajio makubwa kutokana na ubora wa kikosi chao. Kocha Carlo Ancelotti amesema timu yake bado inaweza kufika mbali licha ya mwanzo wa kusuasua. Brazil ndio timu pekee iliyoshiriki kila Kombe la Dunia tangu 1930, jumla ya mashindano 22 mfululizo, ingawa mara nyingi wamekwama robo fainali katika miaka ya karibuni.
Brazil vs Haiti Prediction
Kwa upande wa Haiti, hii ni mechi kubwa zaidi katika maisha ya wachezaji wengi, na itahitaji muujiza kuzuia mashambulizi makali ya Brazil. Kuelekea mchezo huu Brazil wana nafasi kubwa ya kushinda, lakini Haiti watataka kuandika historia kwa kupambana kwa nguvu.
Huu mchezo utakuwa na mabao na mengi yatakuwa upande wa Brazil. Baada ya kupoteza alama katika mchezo wa ufunguzi, Selecao wanatarajiwa kutawala kikamilifu mchezo huu. Kwa upande wa Haiti, ni vigumu kupata matokeo chanya kutokana na ubora wa kikosi cha Ancelotti na takwimu zote kuonyesha Brazil wakiwa juu. Ni ushindi wa mabao 2-0 unatabiriwa kwa Brazil, haya ni maoni sio matokeo kamili.
Muda wa mchezo wa Brazil vs Haiti?
Muda wa mchezo kwa saa za Afrika Mashariki itakuwa ni saa 9:30 usiku ikiwa ni usiku wa kuamkia Jumamosi.
Uwanja wa mchezo wa Brazil vs Haiti ni upi?
Wababe hawa watatumia Uwanja wa Lincoln Financial Field huko Philadelphia.
Habari za kikosi na hali ya timu kabla ya mechi ya Brazil vs Haiti
Habari za kikosi cha Brazil
| Mchezaji | Nafasi | Maelezo |
|---|---|---|
| Alisson | Kipa | Ataendelea kusimama langoni kwa Selecao |
| Gabriel Magalhães | Beki wa kati | Mchezaji wa Arsenal, alicheza kwa uimara |
| Marquinhos | Beki wa kati | Ataendelea kuanza sambamba na Gabriel |
| Casemiro | Kiungo | Kiungo mkongwe, tegemeo la timu |
| Bruno Guimarães | Kiungo | Ataanza katikati pamoja na Casemiro |
| Igor Thiago | Mshambuliaji | Alionekana kusuasua, huenda akapumzishwa |
| Matheus Cunha | Mshambuliaji | Mchezaji wa Manchester United, ataingia kikosi cha kwanza |
Habari za kikosi cha Haiti
- Haiti walitumia kikosi chao bora zaidi dhidi ya Scotland na wanatarajiwa kuendelea na wachezaji wale wale kwa pambano hili. Vikosi rasmi vitatolewa saa moja kabla ya mchezo.
Hali ya timu na mwenendo wa matokeo
| Timu | Fomu ya Mechi za Karibuni | Maelezo Muhimu |
|---|---|---|
| Brazil | DWWWL | Licha ya sare dhidi ya Morocco, hawajapoteza katika mechi zao nne zilizopita. Kabla ya mashindano walipoteza 2-1 kwa Ufaransa katika kirafiki. Wamefunga bao katika kila mechi tangu walipopoteza 1-0 dhidi ya Bolivia Septemba iliyopita. |
| Haiti | LLWDL | Wameshinda mara moja tu katika mechi tano zilizopita – ushindi wa 4-0 dhidi ya New Zealand kabla ya mashindano. Kwa sasa wanakabiliwa na vipigo viwili mfululizo. |
Historia ya mechi kati ya Brazil na Haiti
| Tarehe | Matokeo | Maelezo Muhimu |
|---|---|---|
| 3 Septemba 1959 | Brazil 9-1 Haiti | Ushindi mkubwa wa kwanza wa Brazil dhidi ya Haiti |
| 19 Agosti 2004 | Haiti 0-6 Brazil | Brazil walitawala kikamilifu bila kuruhusu bao |
| 9 Juni 2016 | Brazil 7-1 Haiti | Ushindi wa mabao mengi, Haiti wakapata bao la kufutia machozi |
Brazil wanaingia wakiwa na nguvu na historia ya kutawala Haiti, huku Haiti wakihitaji muujiza kuzuia mashambulizi ya Selecao.
Fomu ya sasa
| Timu | Fomu (Mechi 5 zilizopita) | Maelezo Muhimu |
|---|---|---|
| Brazil | DWWWL | Sare dhidi ya Morocco, ushindi mara tatu mfululizo kabla ya kupoteza 2-1 kwa Ufaransa. Wamefunga bao katika kila mechi tangu walipopoteza 1-0 kwa Bolivia Septemba iliyopita. |
| Haiti | LLWDL | Vipigo viwili mfululizo, ushindi pekee ulikuwa 4-0 dhidi ya New Zealand kabla ya mashindano. |
H2H Brazil na Haiti
| Tarehe | Matokeo | Maelezo Muhimu |
|---|---|---|
| 3 Septemba 1959 | Brazil 9-1 Haiti | Ushindi mkubwa wa kihistoria wa Brazil |
| 19 Agosti 2004 | Haiti 0-6 Brazil | Brazil walitawala kikamilifu bila kuruhusu bao |
| 9 Juni 2016 | Brazil 7-1 Haiti | Ushindi wa mabao mengi, Haiti wakapata bao la kufutia machozi |
Jinsi ya kuangalia (How to watch) Brazil vs Haiti
Mashabiki wanaweza kufuatilia Brazil vs Haiti kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Hitimisho
Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026 unatarajiwa kuwa na mabao mengi kutokana na rekodi zao wanapokutana. Kwenye mechi 3 walizokutana ushindi ulikuwa ni upande wa Brazil. Kuna nafasi kubwa yakuvuna mamilioni kupitia mchezo huu, suka mkeka wako na ubashiri kwenye Odds kubwa jukwaa la SportPesa.

