Amad (-)Amad (-)

Prediction Germany vs Ivory Coast: Kombe la Dunia 2026 — Kundi E

  • Germany vs Ivory Coast wanakutana katika mchezo wa pili wa Kundi E wa Kombe la Dunia 2026.
  • Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa BMO Field, Toronto Jumamosi, 20 June 2026, saa 5 usiku kwa saa saa za afrika mashariki (EAT).
  • Timu itakayoibuka na ushindi itakuwa imefuzu moja kwa moja hatua ya mtoano 32 bora.
  • Timu hizo zilipata matokeo ya Germany 7-1 Curaçao, na Ivory Coast 1-0 Ecuador katika michezo ya awali.

Germany vs Ivory Coast mtanange mwingine wa kukata na shoka wa Kundi E la Kombe la Dunia 2026, watavaana uso kwa uso katika Uwanja wa BMO Field, Toronto Jumamosi, 20 June 2026. Mchezo huo utapigwa saa 5 usiku muda wa afrika mashariki (EAT). Katika michezo yao ya awali Ujerumani walifunga bao 7-1 dhidi ya Curaçao, huku Ivory Coast wakishinda 1-0 dhidi ya Ecuador.

Updated: Germany vs Ivory Coast team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia 2026.

Utabiri wetu: timu zote mbili zitafungana.

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Germany vs Ivory Coast angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Germany vs Ivory Coast
Germany vs Ivory Coast

Maelezo muhimu ya Mechi

A- Diallo
A- Diallo
SehemuMaelezo
MashindanoKombe la Dunia la FIFA 2026 – Kundi E (Mzunguko wa Pili wa Hatua ya Makundi)
Tarehe ya MechiJumamosi, 19 Juni 2026
Muda wa Kuanza (EAT)Saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Uwanja wa MechiBMO Field
Mji na MkoaToronto, Ontario
Nchi MwenyejiCanada

Msimamo wa Kundi E

Nafasi Kwenye Kundi ETimuPointiTofauti ya Mabao (GD)
1Ujerumani3+6
2Ivory Coast3+1
3Ecuador00
4Curaçao0-6

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Germany vs Ivory Coast

Mashabiki wanaweza kufuatilia Germany vs Ivory Coast kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Muhtasari, Utabiri na uchambuzi wa mechi ya Germany vs Ivory Coast

Ushindi mkubwa wa Ujerumani wa magoli 7-1 dhidi ya Curaçao katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E, ulikuwa mojawapo ya vipigo vikali vya michuano hii. Germany ya kocha, Julian Nagelsmann ikiandika rekodi ya kufunga magoli 239 ya Kombe la Dunia. Katika ushindi huo Kai Havertz alifunga mabao mawili, huku Florian Wirtz, Jamal Musiala, na Leroy Sané wote wacheka na nyavu.

Ujerumani wanaoshika nafasi ya 10 duniani, wameshinda Kombe la Dunia mara nne (1954, 1974, 1990, 2014), lakini wameshindwa kuvuka hatua ya makundi katika michuano miwili ya mwisho. Kihistoria Ujerumani wamekuwa wakiziadhibu timu za Afrika ambapo wana historia ya kushinda mechi 5 na kutoa sare 2 kati ya mechi saba za Kombe la Dunia dhidi ya timu za Afrika. Huku wakiwa wamewahi kupoteza mara moja pekee.

Ivory Coast wamerudi kwa kasi katika mashindano haya. Hii ni baada y kuwachapa Ecuador 1-0, bao pekee la Amad Diallo dakika za 90, liliwapatia Ivory Coast pointi zote tatu katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E. Ushindi dhidi ya Ujerumani utathibitisha kufuzu kwao hatua ya mtoano. Ivory Coast haijawahi kuvuka hatua ya makundi, katika michuano ya 2006, 2010, 2014, 2022.

Vikosi vya timu zote mbili

Kikosi cha Ivory Coast
Kikosi cha Ivory Coast

Wanatarajiwa kuingia na kikosi kilekile walichotumia kushinda dhidi ya Curaçao kwa kuwa hawana majeraha. Ivory Coast nao mpaka sasa hawajaripoti majeruhi wapya hivyo hawatarajiwi kufanya mabadiliko. Mpaka sasa kwa ripoti za kitabibu, timu zote zipo tayari.

Ujerumani (4-2-3-1)Ivory Coast (4-3-3)
Golikipa: NeuerGolikipa: Sangare
Beki wa Kulia: KimmichBeki wa Kulia: Belaud
Beki wa Kati: TahBeki wa Kati: Deli
Beki wa Kati: SchlotterbeckBeki wa Kati: Bailly
Beki wa Kushoto: RaumBeki wa Kushoto: Gosso
Kiungo wa Ulinzi: AndrichKiungo wa Ulinzi: Kessie
Kiungo wa Ulinzi: KroosKiungo wa Kati: Fofana
Kiungo wa Kulia: SaneWinga wa Kulia: Adingra
Kiungo wa Mbele: WirtzKiungo wa Ushambuliaji: Pepe
Kiungo wa Kushoto: MusialaWinga wa Kushoto: Diallo
Mshambuliaji: HavertzMshambuliaji: Wahi au Diallo

Dondoo Muhimu

  • Ujerumani: Walishinda 7-1 dhidi ya Curaçao katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E. Wamekuwa wafungaji wa historia ya Kombe la Dunia. Hii ni baada ya kufunga magoli 239.
  • Ujerumani: Ni washindi wa Kombe la Dunia mara 4 (1954, 1974, 1990, 2014). Walishindwa kufikia hatua ya mitoano 2018 na 2022.
  • Ujerumani: wanashika nafasi ya 10 duniani kwa mujibu wa FIFA.
  • Fomu ya Ujerumani (mechi 5 za mwisho): W W W W W magoli 19 kufunga, 6 ya kufungwa.
  • Kai Havertz: alifunga mabao mawili dhidi ya Curaçao. Anatarajiwa kuongoza mashambulizi tena.
  • Florian Wirtz, Jamal Musiala, Leroy Sané: wote walicheza mechi ya ufunguzi na kuonyesha viwango bora katika nafasi zao za mashambulizi.
  • Rekodi ya Ujerumani ya Kombe la Dunia dhidi ya vikosi vya Afrika: W5 D2 L1 — rekodi nzuri sana.
  • Ivory Coast: walishinda 1-0 dhidi ya Ecuador katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E. Amad Diallo akifunga dakika za mwisho.
  • Ivory Coast: Katika ushiriki wao wa nne katika Kombe la Dunia. Hawajawahi kufuzu hatua za mitoano.
  • Mfumo wa Ivory Coast (mechi 5 za mwisho): W W W W W — magoli 10 kufunga, 1 tu la kufungwa.
  • Amad Diallo (Staa wa Manchester United): alitoka benchi na kuwa shujaa wao dhidi ya Ecuador, anatarajiwa kuanza mechi hii.
  • Rekodi ya Ivory Coast ya Kombe la Dunia dhidi ya vikosi vya Ulaya: W1 tu — huu ni mtihani mkubwa zaidi kwao katika kuchuana na kikosi cha Ulaya
  • H2H: mkutano mmoja tu wa awali — Ujerumani 2-2 Ivory Coast (18 Novemba 2009, mechi ya kirafiki).
  • Msimamo wa Kundi E (baada ya Mzunguko wa Mechi z Kwanza): Ujerumani pointi 3 (GD +6), Ivory Coast pointi 3 (GD +1), Ecuador pointi 0, Curaçao pointi 0.

Historia ya Mikutano (Head-to-Head)

Ujerumani na Ivory Coast wamekutana mara moja tu hapo awali. wakitoka sare ya 2-2 katika mechi ya kirafiki tarehe 18 Novemba 2009. Hiyo ndiyo rekodi nzima ya mikutano yao. Mechi hii ya Kundi E ya Kombe la Dunia ni mkutano wao wa kwanza wa ushindani na muktadha wake ikiwa timu zote mbili zikiwa na pointi tatu, mshindi atafuzu. Matokeo ya mechi hiyo utakuwa na uzito mkubwa kuliko mechi yao ya kirafiki ya 2009

TareheMatokeoAina ya Mechi
18 Novemba 2009Ujerumani 2-2 Ivory CoastMechi ya Kirafiki ya Kimataifa

Utabiri Wetu

Germany vs Ivory Coast
Matukio ya Germany vs Curacao

Hii ndiyo mechi inayosubiriwa zaidi kwenye Kundi E, na mojawapo ya mechi za kusisimua zaidi za mizunguko ya mechi za pili katika michuano hii. Timu zote mbili zinaingia zikiwa zimefululiza ushindi wa mechi tano, lakini zikiwa na sura tofauti kabisa. Nguvu ya mashambulizi ya Ujerumani ni kubwa zaidi (magoli 19 katika mechi tano) huku ufanisi wa Ivory Coast ukiwa wa kushangaza pia (magoli 10, bao moja tu kufungwa).

Ujerumani uzoefu na historia yao ya Kombe la Dunia vinawafanya kuwa timu inayopewa nafasi kubwa zaidi kitakwimu. Timu ya Nagelsmann ina ubora wa kibinafsi katika kila nafasi kuweza kudhibiti mechi dhidi ya mpinzani yeyote. Utatu wa Havertz, Musiala, na Wirtz kwenye ushambuliaji itakuwa kipimo kigumu kwa Ivory Coast,

Hata hivyo, Ivory Coast hawawezi kupuuzwa. Mfululizo wao wa ushindi na ubora wao wa mashambulizi kupitia Diallo, Adingra, na Pepe vinawafanya kuwa timu hatari. Timu zote mbili zina ubora wa kufunga magoli. Mistari ya mfumo na vigingi vilivyopo vinaifanya hii kuwa mechi iliyo wazi zaidi kati ya mechi za Kundi E. Magoli kutoka pande zote mbili ni matokeo yanayoweza kutokea kwa uzaidi.

Utabiri wetu: timu zote mbili kufungana.

Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa mechi Kuwa na magoli kutoka pande zote mbili, hii ni kutokana na namna timu zinavyocheza kwa kufunguka. Hautakuwa mchezo rahisi, kwani timu zote zinahitaji ushindi, ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu mtoano. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Germany vs Ivory Coast kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Germany vs Ivory Coast live score na matokeo

Germany vs Ivory Coast live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza, na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi E baada ya mechi.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

Kombe la Dunia (-)
Kombe la Dunia

Mechi ya Ujerumani vs Ivory Coast inaanza saa ngapi?

Mechi itachezwa saa 5 usiku muda wa afrika mashariki, siku ya Jumamosi, tarehe 20 Juni 2026, katika uwanja wa BMO Field, Toronto, Ontario, Canada.

Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya Ujerumani katika Kombe la Dunia 2026?

Ujerumani walishinda 7-1 dhidi ya Curaçao katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E. Kai Havertz alifunga mabao mawili. Katika mchakato huo, Ujerumani wakaibuka kama timu bora kwenye usafa zaidi wa ufungaji katika historia ya Kombe la Dunia, wakipata magoli 239 katika michuano yote.

Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya Ivory Coast katika Kombe la Dunia 2026?

Ivory Coast walishinda 1-0 dhidi ya Ecuador katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi E. Bao la pekee lilifungwa na Amad Diallo, mshambuliaji wa Manchester United ambaye alifunga muda mbadala katika dakika za 90 za mechi na kuwapatia ‘the Elephants’ ushindi wao wa kwanza.

Je, Ujerumani na Ivory Coast wamewahi kukutana hapo awali?

Ndiyo, kwa mara moja tu. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2 katika mechi ya kirafiki tarehe 18 Novemba 2009. Mechi hii ya Kundi E ya Kombe la Dunia ni mkutano wao wa kwanza katik ushindani.

Je Ivory Coast wamewahi kufikia hatua za mitoano za Kombe la Dunia?

Hapana. Ivory Coast wameshiriki katika Michuano minne ya awali ya Kombe la Dunia (2006, 2010, 2014, 2022) na hawajawahi kupita hatua ya makundi. Ushindi wao hapa utawafanya kuwa timu ya kwanza ya Ivory Coast kufuzu hatua za mitoano.

Ujerumani na Ivory Coast wapo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?

Timu zote mbili zipo Kundi E pamoja na Ecuador na Curaçao. Baada ya mzunguko wa Mechi za Kwanza, Ujerumani na Ivory Coast wote wana pointi tatu, huku Ujerumani wakiwa juu kwa tofauti ya magoli (goal difference) ya +6 dhidi ya +1.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator

Kufahamu utabiri na uchambuzi wa mechi inayofuata ya Morocco, soma hii: Scotland vs Morocco Kombe la Dunia 2026: prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.