USA vs Australia: Utabiri, muda, vikosi, h2h na odds
- USA vs Australia ni ratiba ya mechi za mzunguko wa pili wa Kundi D la Kombe la Dunia 2026, ambayo inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Seattle.
- Mechi hii inatarajiwa kupigwa June 19, 2026 saa sita mchana kwa saa za Marekani sawa na saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
- Kwa kuzingatia uchambuzi wa kina wa Opta Analyst, USA wanapewa nafasi kubwa ya asilimia 60% kushinda dhidi ya Australia yenye asilimia 16.9 tu, za ushindi.
- Timu hizi zimekutana mara 4 tu, katika michezo ya kirafiki ambapo USA wameshinda mechi 2, sare 1 na kupoteza 1, hapa tunakuletea taarifa muhimu za mchezo huu; livescores, h2h, prediction, stats, results.
USA vs Australia, ni vita ya mechi za mzunguko wa pili Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi hii itapigwa Uwanja wa Seattle tarehe 19 June 2026 saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Baada ya matokeo ya USA 4-1 Paraguay, USA watakuwa wanatafuta kuendeleza wimbi la ushindi. Timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano rasmi, lakini zina historia ya mapambano 4 ya kirafiki.
Updated: USA vs Australia, team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia 2026.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.
Taarifa muhimu za mechi Scotland vs Morocco

| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mchezo | Marekani (USA) dhidi ya Australia |
| Mashindano | Fainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026 |
| Kundi | Kundi D |
| Tarehe ya Mchezo | 19 Juni 2026 |
| Mahali pa Mechi | Seattle, Marekani |
| Uwanja wa Mechi | Seattle Stadium |
| Jina Maarufu la Uwanja | Lumen Field Stadium |
| Muda kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT) | Saa nne usiku |
| Muda wa Seattle | Saa 6 mchana |
| Yaliyomo Kwenye Makala | Makala hii itakuletea uchambuzi wa kina wa pambano hili, utabiri wa matokeo unaotarajiwa, taarifa mpya za vikosi vyote viwili, orodha ya wachezaji wanaoweza kuanza, historia ya mikutano yao ya awali (H2H), matokeo mubashara (live score), pamoja na viwango vya ubashiri (odds) kutoka kwa wadau wa kamari. |
| Jukwaa la Ubashiri | SportPesa |
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya USA vs Australia, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Muhtasari, Utabiri na uchambuzi wa mechi ya USA vs Australia
Marekani na Australia zitakuwa zikisaka kuendelea na mwanzo wao mzuri katika Kundi D la Kombe la Dunia 2026, zitakapokutana siku ya Ijumaa kwenye Uwanja wa Seattle. Marekani ilianza kampeni yake kwa ushindi mkubwa wa mabao 4-1 dhidi ya Paraguay, huku Australia ikiishangaza dunia kwa kuifunga Uturuki mabao 2-0.
Katika mechi zao za kujiandaa na Kombe la Dunia Marekani waliifunga 3-2 Senegal, kabla ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Ujerumani. Kwenye mechi dhidi ya Paraguay, Folarin Balogun aliandika historia kwa Marekani ya kuwa mchezaji wa pili katika historia ya taifa hilo kufunga mabao mawili mechi ya Kombe la Dunia. Ushindi kwa USA au Australia katika mchezo huu unamaanisha watafuzu moja kwa moja hatua ya 32 bora.
Kujua ratiba ya mechi zote 104 za Kombe la Dunia 2026, soma hii pia: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
USA vs Australia H2H
Timu hizi zimekutana mara 4 katika mechi za kirafiki, ambapo USA wamekuwa wababe wakishinda mechi 2, sare 1 na kupoteza 1. Timu hizi pia hazijawahi kukutana katika mashindano rasmi, hivyo hii itakuwa mara ya kwanza kwao. Fomu ya sasa, ubora wa vikosi na nidhamu ya mbinu, vitaamua matokeo.
Table hii inachambua kwa urahisi fomu ya USA vs Australia
Fomu ya USA kabla ya mechi
W – L – W – L – L – W
| Tarehe | Mpinzani | Mashindano | Matokeo | Alama |
|---|---|---|---|---|
| 12 Juni 2026 | Paraguay | Kombe la Dunia FIFA 2026 (Kundi D) | Ushindi | 4-1 |
| 6 Juni 2026 | Ujerumani | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Kipigo | 1-2 |
| 31 Mei 2026 | Senegal | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Ushindi | 3-2 |
| 1 Aprili 2026 | Ureno | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Kipigo | 0-2 |
| 28 Machi 2026 | Ubelgiji | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Kipigo | 2-5 |
Fomu ya Australia kabla ya mechi
W – D – L – W – W – L
| Date | Opponent | Competition | Result |
|---|---|---|---|
| 13 June 2026 | Türkiye | FIFA World Cup | Win (2-0) |
| 7 June 2026 | Switzerland | Friendly | Draw (1-1) |
| 30 May 2026 | Mexico | Friendly | Loss (0-1) |
| 31 March 2026 | Curaçao | FIFA Series | Win (5-1) |
| 27 March 2026 | Cameroon | FIFA Series | Win (1-0) |
Vikosi vinavyotarajiwa kuanza
Hii hapa listi ya vikosi vinavyotarajiwa kuanza kulingana na fomu ya wachezaji, taarifa za awali za timu na mwenendo wa mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitathibitishwa karibu na muda wa mchezo.
USA
| Nafasi | Wachezaji Wanaotarajiwa Kuanza |
|---|---|
| Kipa | Freese |
| Walinzi | Freeman, Richards, Ream, Robinson |
| Viungo | Adams, Tillman, Dest, McKennie, Pulisic |
| Washambuliaji | Balogun |
Australia

| Nafasi | Wachezaji Wanaotarajiwa Kuanza |
|---|---|
| Kipa | Beach |
| Walinzi | Circati, Souttar, Burgess, Italiano |
| Viungo | O’Neill, Okon-Engstler, Bos, Metcalfe |
| Washambuliaji | Irankunda, Toure |
Kufahamu mabadiliko ya sheria za Kombe la Dunia 2026, soma hii: Sheria mpya za mechi Kombe la Dunia 2026 zashtua! Nini kimebadilishwa?
Habari za timu na majeruhi
Kwa USA kuna wasiwasi mdogo kuhusu hali ya Nyota, Christian Pulisic. Pulisic alitolewa mapumzikoni baada ya kupata majeraha madogo, lakini Pochettino pamoja na Tyler Adams wamesema mshambuliaji huyo atakuwa tayari. Kwa upande wa Australia taarifa za mpaka sasa, hawana majeraha hivyo wanaweza kutumia vikosi vilevile.
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
USA vs Australia utabiri Kombe la Dunia 2026 Utabiri wetu: USA 2-1 Australia

Kwa mujibu wa Opta na uchambuzi wa kitaalam kutoka mashirika mbalimbali, inatabiriwa USA wataibuka na ushindi wa mabao 2-1. Kutokana na umuhimu wa mchezo tunatarajia mchezo mgumu sana. Zingatia, huu ni mtazamo wa kiuhariri, si matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.
Kufahamu utabiri na uchambuzi wa mechi inayofuata ya,Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, kick off, team news, odds, h2h
Hitimisho
Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa USA kuibuka na ushindi dhidi ya Australia. Hautakuwa mchezo rahisi, kwani timu zote zinahitaji ushindi, ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu mtoano. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za USA vs Australia kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
USA vs Australia live score na matokeo
USA vs Australia live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza, na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi D baada ya mechi.
Maswali muhimu yanayoulizwa kuhusu mchezo huu
Mechi ya USA vs Australia itachezwa lini?
Mechi hii itapigwa Tarehe 19 June 2026 saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki,
USA vs Australia ni kundi gani?
Huu ni mchezo wa Kundi D kwenye Kombe la Dunia 2026.
USA vs Australia zimewahi kukutana?
Historia inaeleza timu hizi zimekutana mara 4, katika michezo ya kirafiki.
Utabiri wa USA vs Australia ni upi?
Utabiri wetu wa kiuhariri ni USA 2-1 Australia
USA vs Australia itachezwa uwanja gani?
Mechi hii itachezwa Uwanja wa Seattle,
Jinsi ya kuangalia (How to watch) USA vs Australia
Mashabiki wanaweza kufuatilia USA vs Australia kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

