- Kituo kinachofuata ni Yanga SC vs Kagera Sugar NBC Premier League Uwanja wa KMC Complex, Novemba Mosi 2026.
- Pambano hili la kukata na shoka linatarajiwa kupigwa saa 1:00 usiku kwa wababe hawa kusaka pointi 3 muhimu.
- Yanga SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili na pointi 22 inakutana na Kagera Sugar iliyo nafasi ya 15 na pointi 6.
- Mchezo wa mwisho walipokutana matokeo ilikuwa Yanga SC 4-0 Kagera Sugar

Wanakutana Yanga SC vs Kagera Sugar NBC Premier League mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa wababe hawa kusaka pointi 3 muhimu.Mabingwa watetezi matokeo ya mchezo uliopita ilikuwa Yanga SC 2-1 Mashujaa FC, Uwanja wa KMC Complex,Mwenye.Wanarejea nyumbani tena Novemba Mosi 2026 kusaka ushindi ndani ya dakika 90.
SOMA HII PIA:Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC | Matokeo na msimamo NBC Premier League
Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Yanga SC vs Kagera Sugar taarifa
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Mchezo | Yanga SC vs Kagera Sugar |
| Uwanja | KMC Complex, Dar |
| Tarehe | 01/11/2026 |
| Timu mwenyeji | Yanga SC |
H2H Yanga SC vs Kagera Sugar
Katika mechi zilizopita walipokutana wababe hawa kabla ya Kagera Sugar kushuka daraja, Yanga SC ilikuwa na rekodi nzuri.Kwenye mechi 6, ushindi ilikuwa mechi 5 kwa Yanga SC na sare mchezo mmoja.Ushindi mkubwa ilikuwa 12/04/2023, Yanga SC 5-0 Kagera Sugar.
01/02/2025, Yanga SC 4-0 Kagera Sugar
29/08/2024, Kagera Sugar 0-2 Yanga SC
08/05/2024, Yanga SC 1-0 Kagera Sugar
02/02/2024, Kagera Sugar 0-0 Yanga SC
12/04/2023, Yanga SC 5-0 Kagera Sugar
13/11/2022, Kagera Sugar 0-1 Yanga SC
Prediction Yanga SC vs Kagera Sugar
Wananchi wametoka kupata ushindi mchezo uliopita wapo kwenye fomu bora.Kurejea kwa mshambuliaji Clement Mzize aliyefunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa FC na kuwa Man of The Match kunaongeza ubora wa timu hiyo.Kagera Sugar inayofundishwa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze haijawa na matokeo mazuri msimu mpya wa 2026/27.
Faida ya uwanja wa nyumbani inaibeba Yanga SC.Licha ya rekodi hizi bado ni Kagera Sugar sio timu ya kubeza kutokana na uimara ambao wanazidi kuwa nao. Yanga SC 3-1 Kagera Sugar ni utabiri na haya si matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
SOMA HII PIA:Tanzania Premier League 2026/27: Fixtures, Results, Standings and Teams
Hitimisho
Yanga SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili inawakaribisha Kagera Sugar walio nafasi ya 15 na pointi 6.Ushindi kwa wageni katika mechi za ligi ni mchezo mmoja huku wenyeji wakishinda mechi 7.Safu ya ulinzi imeruhusu mabao 18 inakutana na Yanga SC iliyoruhusu mabao 5.

