- Wanakutana Uzbekistan vs Colombia FIFA Kombe la Dunia 2026 mechi ya Kundi K, Uwanja wa Mexico City
- Matokeo ya mechi 5 zilizopita timu zote zimepata ushindi mechi 3 na kupoteza mechi 2.
- SportPesa Blog tumekuandalia makala yenye uchambuzi wa mchezo, H2H, prediction kwa mchezo huo utakaopigwa Juni 18, 2026.
Ni Uzbekistan vs Colombia FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa Kundi K, Uwanja wa Mexico City, mjini Mexico. Juni 18, 2026 mchezo huu utapigwa.Colombia 2022 walishindwa kufuzu nchini Qatar wanakutana na mpinzani mwenye shauku yakushinda mchezo wa hatua ya makundi.
Updated: Uzbekistan vs Colombia team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi K Kombe la Dunia 2026.
Hii hapa ijue ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Uzbekistan vs Colombia, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Uzbekistan vs Colombia prediction, lineups na taarifa za timu

Ijue timu itakayoshinda mchezo wa Ghana vs Panama : Ghana vs Panama FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, prediction, live score, odds, H2H
Uzbekistan walifuzu Kombe la Dunia wakiwa nyuma ya Iran katika hatua za kufuzu za bara la Asia. Hata hivyo, walifanya uamuzi mgumu kwa kumtimua kocha aliyewaongoza kufuzu, Timur Kapadze, na kumteua mshindi wa zamani wa tuzo ya Ballon d’Or na nahodha aliyeshinda Kombe la Dunia, Fabio Cannavaro. Uamuzi huo ulionekana kuwa mkali wakati ulipotangazwa, na sasa jukumu la Cannavaro ni kuthibitisha kuwa ulikuwa uamuzi sahihi.
Vikosi Vinavyotarajiwa (Predicted Lineups)
Uzbekistan
Vikosi hivi sio rasmi kwa wakati huu. Vikosi rasmi vitatolewa muda mchache kabla ya mchezo husika,
| Nafasi | Mchezaji |
| GK | Abduvohid Nematov |
| CB | Abdukodir Khusanov |
| CB | Jakhongir Urozov |
| CB | Rustamjon Ashurmatov |
| LWB | Farrukh Sayfiev |
| CM | Otabek Shukurov |
| CM | Akmal Mozgovoy |
| RWB | Sherzod Nasrulloev |
| AM | Oston Urunov |
| AM | Abbosbek Fayzullayev |
| ST | Eldor Shomurodov |
Colombia
| Nafasi | Mchezaji |
| GK | Camilo Vargas |
| RB | Daniel Muñoz |
| CB | Davinson Sánchez |
| CB | Jhon Lucumí |
| LB | Johan Mojica |
| CM | Gustavo Puerta |
| CM | Jefferson Lerma |
| AM | James Rodríguez |
| RW | Jhon Arias |
| LW | Luis Díaz |
| ST | Luis Suárez |
Fomu ya Uzbekistan
| Tarehe | Mashindano | Mechi | Matokeo | Matokeo ya Timu |
|---|---|---|---|---|
| 08.06.2026 | FI | Netherlands vs Uzbekistan | 2–1 | L |
| 02.06.2026 | FI | Canada vs Uzbekistan | 2–0 | L |
| 30.03.2026 | FS (Pen) | Uzbekistan vs Venezuela | 0–0 (5–4) | W |
| 27.03.2026 | FS | Uzbekistan vs Gabon | 3–1 | W |
| 30.01.2026 | FI | Uzbekistan vs Urartu | 4–2 | W |
Fomu ya Colombia
| Tarehe | Mashindano | Mechi | Matokeo | Matokeo ya Timu |
|---|---|---|---|---|
| 08.06.2026 | FI | Colombia vs Jordan | 2–0 | W |
| 02.06.2026 | FI | Colombia vs Costa Rica | 3–1 | W |
| 29.03.2026 | FI | Colombia vs France | 1–3 | L |
| 27.03.2026 | FI | Colombia vs Croatia | 1–2 | L |
| 19.11.2025 | FI | Colombia vs Australia | 3–0 | W |
Uzbekistan vs Colombia prediction

Huu hapa uchambuzi wa Czechia vs South Africa usome: Czechia vs South Africa prediction: utabiri, muda, vikosi, h2h, live score, odds
Kwa namna ambavyo timu hizi zimekuwa katika fomu kwenye mechi 5 zilizopita matokeo yenye nafasi ni sare. Uzbekistan 1-1 Colombia. Haya sio matokeo rasmi ni utabiri tu.
H2H Uzbekistan vs Colombia
Rekodi zinaonyesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano makubwa. Huu unakwenda kuwa mchezo wa kwanza. Juni 18, 2026 ni Uzbekistan vs Colombia.
Wakuchungwa wachezaji wa Colombia
Colombia wana ya safu ya ushambuliaji inayovutia zaidi katika mashindano haya. Yupo Luis Suárez wa Sporting CP na Luis Díaz wa Bayern Munich, wana washambuliaji wawili walio katika kiwango bora kabisa katika soka la Ulaya kwa sasa. Aidha, Jhon Arias ameonyesha kiwango kizuri akiwa na timu ya taifa jambo linaloifanya Colombia kuwa na vyanzo vingi vya mabao.
James Rodriguez ana umri wa miaka 34 amekumbwa na majeraha mara kadhaa katika maisha yake ya soka, lakini kipaji na ubunifu wake bado havijapotea. Ikiwa ataweza kurejesha ule ubora wake kwenye jukwaa kubwa zaidi la soka duniani, safu hii ya ushambuliaji ya Colombia ni muhimu kuchungwa.
Mchezaji tegemeo Uzbekistan
Moja ya mbinu kuu za Uzbekistan ni kupeleka mipira kwa Shomurodov akiwa mbele, kisha kujenga mashambulizi kupitia uwezo wake wa kushikilia mpira na kuwaunganisha wachezaji wengine. Mshambuliaji huyo alikuwa kinara wa timu katika hatua za kufuzu kwa kuchangia mabao matano na asisti tano.Ni mchezaji tegemeo eneo la ushambuliaji.
Fabio Cannavaro katika mtihani FIFA Kombe la Dunia 2026
Licha ya kuwa na mafanikio makubwa akiwa mchezaji, safari ya Fabio Cannavaro kama kocha bado imekuwa ya wastani. Wengi walishangazwa alipochukua nafasi ya Timur Kapadze, kocha aliyependwa na mashabiki na aliyeiongoza Uzbekistan kufuzu Kombe la Dunia.Cannavaro ameiongoza katika mechi sita na kupata ushindi mara tano. Ushindi huo unajumuisha matokeo mazuri dhidi ya Misri, Iran na Venezuela, huku kipigo pekee kikitokana na mchezo dhidi ya Uruguay.
Baada ya kuchukua timu, hakufanya mabadiliko makubwa katika mfumo uliowekwa na Kapadze. Badala yake, ameufanyia maboresho madogo kwa kuwapa nafasi zaidi vijana, huku akiendelea kutumia mfumo wa 3-4-2-1 unaotegemea uimara wa safu ya ulinzi na mchango wa mshambuliaji wao tegemeo, Eldor Shomurodov.
Jinsi ya kuangalia (How to watch) Uzbekistan vs Colombia
Mashabiki wanaweza kufuatilia Uzbekistan vs Colombia kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Mechi ya Uzbekistan vs Colombia itachezwa lini?
Uzbekistan vs Colombia itachezwa Juni 18, 2026
Ni mashindano gani mechi ya Uzbekistan vs Colombia ?
Haya ni mashindano ya FIFA Kombe la Dunia 2026.
Mechi ya Uzbekistan vs Colombia ni kutoka kundi lipi?
Huu ni mchezo kutoka Kundi K.
Sehemu ipi ina odds zilizoimarishwa?

