Bado dakika 90 tu YANGA VS RIVERS UTD -Rekodi Iandikwe Africa
Huenda timu ya Wananchi Yanga, siku ya kesho ikaandika rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, iwapo itakamilisha kazi waliyoianza wiki iliyopita…
