skip to Main Content
Yanga- -
Yanga- -

UNAKOSAJE HELA WIKI HII NA SPORTPESA

Ni wiki nyingine ya ushindi kama ilivyo kauli mbiu ya SportPesa ‘’ushindi ni mwingi’’ ambapo kuna mechi za kimashindano za kutosha kutoka kila pembe ya dunia. Lakini kabla hatujaangaza nini kipo wiki hii, nitoe pole kwa wapenzi na mashabiki wa Manchester United kwa kipigo cha goli 7 kutoka kwa Liverpool.

Tukianza na Caf -Simba wanaanza kucheza siku ya Jumanne dhidi ya Vipers ya Uganda na Yanga watacheza siku ya Jumatano ya Tarehe 7 na Yanga watacheza siku ya Tarehe 8 dhidi ya US Monastir ya Mali na kisha kuendelea na ratiba zingine za ligi.

Aziz-Ki-Yanga-Kama ilivyo ada SportPesa itakuwekea mechi hizi mbili za kombe la klabu bingwa Africa, na kombe la shirikisho Africa, ili uweze kubashiri na kufurahia huduma zetu kupitia Sportpesa App, tovuti yetu ya Sportpesa.co.tz na mwisho kabisa kupitia USSD ambapo utapiga *150*87# na kufuata maelekezo.

Leo barani ulaya, ligi ya EPL, La Liga, Serie A, na nyinginezo zinaendelea ambapo timu zinazocheza ni pamoja na Brentford VS Fullham, Osasuna VS Celta Vigo, Torino VS Bologna, Casa Pia VS Pacos de Ferreira, Villarreal B VS Alaves, Genoa VS Cosenza, AZ Alkmaar VS Willem 11, POS VS NAC Breda

Kama utakuwa umechelewa na mechi zimeanza unaweza kucheza mechi hizi za ulaya kwa kubashiri mechi hizi mubashara, ambapo utaziona kama ‘’mechi zinazoendelea’’, yaani SportPesa live.

Kwingineko barani Africa mambo yanazidi kuonoga mechi zinazidi kuongezeka na wigo wa mechi unazidi kutanuka. Kesho kule Misri Zamalek watakuwa uwanjani dhidi ya wababe wa Tunisia Esperance, wakati, Mamelodi nao siku ya kesho watacheza dhidi ya Al Ahly.

Kama hiyo haitoshi Horoya watakipiga na Raja Casablanca, ikumbukwe mechi ya kwanza hizi timu mbili zilitoa droo, hivyo mechi ya kesho inatabiriwa kuwa yenye ushindani mkali, kila timu ikijaribu kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele.

Vita nyingine kali ya kutafuta ushindi katika mashindano ya CAF itakuwa kati ya Atletico de Luanda dhidi ya Wydad Casablanca ambapo Wydad alishinda kwa ushindi mwembamba wa goli 1.

Kwa uchache mechi za klabu bingwa na za shirikisho Africa zitazihusisha timu nyingine kama JS Kabylie ya Algeria dhidi ya Vita Club ya DRC Congo na CR Belouizdad ya Algeria dhidi ya Al Merrikh ya Sudan.

Napenda kuwakumbusha wasomaji wetu kuwa sasa hivi kiwango cha Multibet bonus kimepanda mpaka 1000%, pia unaweza kucheza Jackpot zetu ambako kwa wiki hii SportPesa Jackpot ya kati kati ya wiki inasoma 499,870,280 ambapo pia una nafasi ya kushinda Jackpot bonus endapo utapatia kwa usahihi kunazia mechi 10.

 

 

 

 

 

 

 

Share this:
Back To Top