Ligi Kuu Tanzania Bara- NANI ANANUSA UBINGWA KWA USAJILI HUU??
Ikiwa imetimia siku zaidi ya 35 tokea msimu wa Ligi kuu kuisha, na siku 20 kabla msimu mpya wa Ligi kuu ya soka Tanzania bara kuanza,vilabu vyote vipo katika mchakato wa kusajili na kuboresha mabenchi yao ya ufundi. Swali linakuja,…