Presha Manqoba Mngqithi kufutwa kazi baada ya Dabi ya Kariakoo?
Baada ya dabi ya Kariakoo, macho yote yameelekezwa kwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi. Presha imekuwa ikiongezeka kwake, huku mashabiki na uongozi wakitarajia majibu ya haraka na matokeo…
