ZED FC 1-1 Azam FC | CAFCC, Highlights, magoli, Livescore, habari za timu
- ZED FC 1-1 Azam FC ndivyo ubao wa matokeo wa Uwanja wa Kimataifa wa Cairo nchini Misri ulivyosoma, baada ya dakika 90 kumalizika muda mchache uliopita.
- Matokeo hay ani ya mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika.
- Ni nahodha wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda ndiye alirudisha tabasamu la mashabiki wa Azam FC kufuatia mpira uliomgoga kutokana na shuti kali la Idd Nado kukwaa kambani.
- Makala hii inachambua baadhi ya matukio ‘highlights’ muhimu kwa picha za mchezo huu.
Mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika yameendelea leo ambapo miongoni mwa matokeo muhimu kwa wawakilishi wa Tanzania ni ZED FC 1-1 Azam FC. Mchezo huo ulipigwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Cairo nchini Misri. Ni nahodha Lusajo Mwaikenda kwa kutumia faida ya mpira uliopigwa na Idd Nado kutoka nje ya 18, na kukwama kimiani ndio umewapa pointi muhimu Azam. Makala hii inachambua kwa picha highlights za mchezo huo.
SOMA HII PIA: Usajili wa Azam FC 2026/27: Ilese, Taiwo Adolf Mtasigwa akutana na Thank You | SportPesa Blog
Kipindi cha kwanza

Licha ya Azam FC kuanza kwa tahadhari kwa kuwaheshimu wenyeji, walijikuta wakimaliza kipindi cha kwanza kwa matokeo ya NED FC 1-0 Azam FC. Kocha Florent Ibenge alilazimika kufanya mabadiliko makubwa ya kimbinu. Hali hii ilisaidia upatikanaji wa bao la kusawazisha.
SOMA HII PIA: Azam FC: Matokeo na msimamo NBC Premier League 2026/27 | Ratiba | SportPesa Blog
Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini
Bao la Kusawazisha

Bao la kusawazisha la Azam FC lilitokana na msako mkali ambao waliufanya langoni kwa NED FC. Katika nyakati ambazo NED FC waliamini wangeondoka na ushindi, Azam walirudi mchezoni. Ni jitihada za shuti la Idd Nado kwenye kushambulia mpira ulionza kwa kutengwa kwenye kona ukamgonga nahodha, Lusajo Mwaikenda na kukwama kimiani.
SOMA HII ZAIDI: Azam FC: Complete Guide to Latest Results, Fixtures, Standings, and Squad Updates | Sportpesa Blog
1UP, 2UP, 3UP haina kusubiri, chukua pesa yako mapema, gusa hapo chini

Baada ya matokeo ya ZED FC 1-1 Azam FC, timu hizo zinatarajiwa kuvaana tena Oktoba 24, 2026 katika mchezo wa marudiano. Mshindi wa jumla wa mechi zote mbili atakuwa anafuzu moja kwa moja, kucheza hatua ya makundi ya mashindano haya. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa zaidi.


