SportPesa Goal Rush washindi 10-16 Oktoba 2026 hawa hapa
- SportPesa Goal Rush Washindi 10-16 Oktoba 2026 wamepatikana, wiki hii wachezaji wengi zaidi wameshiriki na washindi wameshinda mamilioni.
- Ni wazi vibe la ushindi limerejea kupitia mchezo wa Goal Rush, huku mamilioni ya ushindi yakitoka na kila siku kuwapa Watanzania tabasamu.
- Ikumbukwe dau kubwa la ushindi wa zaidi ya shilingi Millioni 100, bado lipo ambapo mshiriki anaweza kushinda.
Kampuni ya SportPesa ambayo ni nyumba ya washindi imezidi kumwaga furaha kwa Watanzania kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya kuanzia 10-16 Oktoba 2026. Tumeshuhudia msisimko wa soka, ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, huku mashabiki wetu wakithibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.
SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025 hawa hapa
Cheza na ushinde zaidi ya Milioni 800 sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa
Kumbuka unaweza kuwa mshindi mpya wa mamilioni ya SportPesa muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kucheza kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

SportPesa Goal Rush ni nini?
Mchezo wa Goal Rush ni mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka, ambao unazidi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Ushindani wa wiki hii umekuwa mkubwa na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.
SOMA HII ZAIDI: SPORTPESA GOAL RUSH; CHEZA SASA! KILA SIKU WATU WANASHINDA
SportPesa Goal Rush washindi 10-16 Oktoba 2026 wanapata zawadi gani?
Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya fedha kwa maelfu hadi mamilioni ya shilingi kila siku, huku zawadi kuu ya zaidi ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Unaweza kuwa wewe? Cheza sasa.
Jumapili: Vibe la Sunday





Alhamisi: Maokoto Thursday

Ijumaa: Faidika Friday

Mambo ni moto, wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea SportPesa Goal Rush washindi 10-16 Oktoba 2026. Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!
Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri
SportPesa ushindi upo nawe!!

