Ratiba ya Yanga SC na Simba SC CAFYanga na SimbaYanga na Simba
  • Hii hapa ratiba ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League 2026/27.
  • Yanga SC vs MC Alger, Uwanja wa New Amaan Complex, saa 10:00 jioni, 28/11/2026.
  • Simba SC vs Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni 29/11/2026.
  • Kwa habari za papohapo za Yanga SC vs MC Alger fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
Eli Mpanzu Kibisawala
Yanga SC vs Simba SC

Kazi imeanza katika anga la kimataifa na hapa tumekuletea ratiba ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League.Watoto wa Jangwani chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids wataanza kutupa karata ya kwanza Uwanja wa New Amaan Complex.Ni Yanga SC vs MC Algers, 28/10/2026 saa 10:00 jioni.Mnyama chini ya Kocha Mkuu, Steve Berkar ni 29/11/2026 Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni, Simba SC vs Orlando Pirates.

SOMA HII PIA:Simba SC na Yanga SC CAF Champions League 2026/27 | Makundi | SportPesa Blog

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege kwa shilingi 1

Una nafasi yakushinda mpaka milioni 800 ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja kwa kuanzia shilingi 1 tu na kuna zawadi kibao zinakusubiri. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini uanze safari:-

image

Kamata ratiba ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League

Kwenye raiba ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League, timu zote mbili zitaanzia nyumbani.Mbabe mmoja atakuwa Zanzibar kazi ataanza Jumamosi na mbabe wa pili atakuwa Dar, Uwanja wa Uhuru.Hizi ni mechi za hatua ya makundi.

SOMA HII PIA:Safari ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League 2026/27: Ratiba, Timu na Matarajio ya Klabu za Tanzania

Yanga SC vs MC Alger

KipengeleMaelezo
MashindanoCAF Champions League
MchezoYanga SC vs MC Alger
UwanjaNew Amaan Complex, Zanzibar
Tarehe27/11/2026
Timu mwenyejiYanga SC

Simba SC vs Orlando Pirates

KipengeleMaelezo
MashindanoCAF Champions League
MchezoSimba SC vs Orlando Pirates
UwanjaUhuru, Dar
Tarehe29/11/2026
Timu mwenyejiSimba SC

Hitimisho

Ni Yanga SC na Simba SC CAF Champions League wanatupa karata zao za mwanzo ndani ya 2026/27.Malengo ya wawakilishi hawa ni kupambania kutinga hatua ya robo fainali.Wababe hawa wote wataanzia nyumbani na mechi za funga kazi hatua ya makundi watakuwa nyumbani.

Share this: