skip to Main Content
SportPesa Supa Jackpot FAQs
n

SportPesa Supa Jackpot FAQs

1) Supa Jackpot ni nini?
Supa Jackpot ni Jackpot ya mechi 17 yenye zawadi inayoanzia zawadi ya Tsh Bilioni 1 ambayo inaongezeka kila wiki kama haikupata mshindi.

Mechi zinachezwa kati ya Ijumaa, Jumamosi au Jumapili. Utashinda Supa Jackpot kama utapatia kwa usahihi matokeo ya mechi zote 17 zilizowekwa.

SportPesa itakupa zawadi ya bonus kama utapatia kwa usahihi japo mechi 13,14,15 na 16 katika mechi za Supa Jackpot.

 

2) Je, Jackpot ya mechi 13 bado ipo?

Ndio Kabisa. Jackpot ya mechi 13 sasa hivi inachezwa katikati ya wiki kuanzia Jumanne na Jumatano. Vigezo na masharti vitabakia kama vilivyo.

3) Je, nini ni tofauti kati Supa Jackpot na Jackpot?

Supa Jackpot inakupa nafasi ya kushinda kiwango kikubwa cha fedha. Zawadi ya pesa taslimu inaanzia Tsh 1,000,000,000. Wakati zawadi ya pesa taslimu kwa Jackpot ya mechi 13 inaanzia Tsh 200,000,000 na kuongezeka kadri Jackpot inavyoendelea kukua.

Bonus za Supa Jackpot zinaanzia kwenye ubashiri sahihi wa mechi 13 mpaka ubashiri wa mechi 16 na kukupa nafasi kubwa ya kuweza kushinda.

Jackpot ya mechi 13 inachezwa katikati ya wiki ambapo ni Jumanne na Jumatano, wakati Supa Jackpot inachezwa mwishoni mwa wiki Jumamosi na Jumapili. Jackpot zote mbili mechi zake zinatoka siku chache kabla ya mechi kuanza.

 

4) Je, mnatoa bonus kwenye Jackpot ya Supa Jackpot? Je bonus zitakuwa Tsh ngapi?

SportPesa itaamua/itapanga kiwango cha kutoa kwenye bonus za mechi 13,14,15,16 zilizobashiriwa kwa usahihi, baada ya mechi zote 17 za Jackpot zilizowekwa kuchezwa na matokeo kutangazwa.

Tutaweka matangazo ya viwango vya bonus katika kurasa za michezo za magazeti yote yanayoongoza na pia katika kurasa za mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Instagram na Twitter.

 

6) Ni gharama kiasi gani kubashiri Supa Jackpot?

Gharama ya kubashiri Supa Jackpot ni Tsh 1000.

 

7) Je, Jackpot ya wikiendi ina ngazi ngapi?

17/17 Tsh 1,000,000,000

 

8) Je, Jackpot hiyo hapo juu ina ngazi zote za bonus na kwa namna gani?

Ndio, Jackpot zote za wikiendi zitakuwa na bonus kama inavyoelezewa hapa chini:

SUPA Jackpot 17/17

Ngazi ya bonus: 13-16

9) Je, naweza kubashiri mara nyingi kadiri nitakavyo?

Ndio unaweza kubashiri Supa Jackpot kadiri ya unavyoweza na pia unaweza kucheza Jackpot nyingine mara nyingi kadiri upendavyo.

 

10) Je, naweza kucheza kombinesheni?

Ndio angalia chini hapa ukomo/viwango vya kombinesheni.

Mwisho dabo 10

Mwisho machaguo yote 3 kwenye mechi 5 (win/draw)

Mwisho dabo 5 na machaguo yote 3 kwenye mechi 5

 

11) Naweza kubashiri kwenye Jackpot na kwenye Supa Jackpot?

Ndio, unaweza kubashiri Jackpot ya mechi 13 na pia Supa Jackpot, ambayo nayo inaanzia mechi 13 mpaka mechi 17. Kila ushindi utalipwa kivyake au utajitegemea.

 

12) Je, ninaweza kubashiri Jackpot hii mara nyingi?

Ndio, unaweza kucheza Jackpot mara nyingi kadiri ya uwezavyo.

Bashiri zinatakiwa ziwekwe kabla mechi ya kwanza haijaanza. Dau la kila Jackpot na Supa Jackpot ni Sh 1000. Unaweza ukapata mechi zote za Jackpot katika magazeti ya wiki hii, au kwenye tovuti yetu ya SportPesa.co.tz au kupitia app yetu ya SportPesa.

13) Je, Supa Jackpot inakuwa na michezo mingapi?

Jackpot ya Supa Jackpot ina mechi 17.

 

14) Je, Supa Jackpot inakuwa na aina gani ya michezo?

Supa Jackpot inakuwa na mpaka mechi 17 ambayo unaweza kuchagua kama ambavyo Jackpot ya mechi 13 ilivyo. Ila unaweza kubashiri kuanzia mechi 13.

SportPesa Supa Jackpot

15) Je, Tsh Bilioni 1 itatumwa kwenye akaunti yangu ya SportPesa endapo nitashinda?

Ndio. Haijalishi umeshinda kiasi gani, utawekewa pesa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya SportPesa. Kwa viwango vikubwa tunaweza kupanga namna ya kuhamisha pesa ya ushindi wako kutoka akaunti yako ya SportPesa Kwenda benki ikiwa utaomba iwe hivyo.

 

16) Je, mechi moja inaweza kuwepo kwenye Jackpot ya katikati ya wiki na wakati huo huo ikawekwa kwenye Supa Jackpot?

Hapana. Kila Jackpot itakuwa na mechi tofauti na Jackpot nyingine.

Jackpot ya mechi 13 zitachezwa katikati ya wiki  na Supa Jackpot zitachezwa wikiendi.

 

Share this:
Back To Top