Yanga SC vs Simba SC kwenye msako wa pointi tatu ndani ya ligi Juni 18/ Mechi namba 184 kimbembe
Yanga SC vs Simba SC kwenye msako wa pointi tatu ndani ya ligi Juni 18 ndani ya dakika 90 ikiwa ni mzunguko wa pili. Wababe hawa ambao kila mmoja anapambania…
Ibenge & Maxi watikisa taarifa mpya usajili Bongo
Tetesi za usajili wa dirisha kubwa kuelekea msimu ujao wa 2025/26 zinaendelea kupamba moto, huku saa chache zilizopita majina ya kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge na kiungo wa Yanga…
SportPesa Goal Rush: Washindi 7-13 Juni 2025
SportPesa Goal Rush Washindi 7-13 2025 wamepatikana kupitia ubashiri wa Goal Rush wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush ambapo watu wameendelea…
Simba SC kuachana na makipa wote kuelekea 2025/26/ Air Manula, Camara, Ally Salim
Simba SC kuachana na makipa wake wote kuelekea 2025/26 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku wakiwa na mpango wa kuwaacha nyota zaidi ya watano kutokana na sababu mbalimbali ikiwa…
Usajili mpya Yanga balaa! Sowah, Bada, Chikola kwenye Yanga mpya
Tetesi za usajili wa dirisha kubwa kuelekea msimu ujao wa 2025/26 zimezidi kupamba moto, ambapo huko Jangwani unaambiwa usajili mpya Yanga ni balaa! Tayari majina ya Straika, Jonathan Sowah, Arthur…
Mechi namba 184 Yanga SC vs Simba SC ni pasua kichwa/ CEO Almasi Kasongo asimamishwa na Rais
Mechi namba 184 Yanga SC vs Simba SC ni pasua kichwa kutokana na kupigwa kalenda kwa mara nyingine tena huku baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu kwenye masuala ya…
Yanga SC vs Simba SC ni Juni 25 2025 sio Juni 15 2025/ Ngoma imegeuka juu chini
Yanga SC vs Simba SC ni Juni 25 2025 na sio Juni 15 2025 baada ya mchezo huo namba 184 kupelekwa mbele na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB).…
Yanga SC vs Simba SC taarifa muhimu kuhusu waamuzi wa mchezo Juni 15 2025 viingilio kutolewa
Yanga SC vs Simba SC taarifa muhimu kuhusu waamuzi wa mchezo wa Juni 15 2025, viingilio, waamuzi, zinatarajiwa kutolewa muda wowote kuanzia sasa kuelekea kwenye mchezo huo wa watani wa…
Yanga SC vs Simba SC hawa wachezaji wakuchungwa, Prince Dube, Ellie Mpanzu
Yanga SC vs Simba SC Juni 15 2025 hawa wachezaji wakuchungwa kutokana na kuwa na hatari wawapo uwanjani katika kutimiza majukumu yao. Mchezo wa jasho kwa wababe wawili uwanjani kwenye…
