Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League Oktoba 25 |Mbeba mikoba ya Folz kazini
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League Oktoba 25,2025 utakuwa mchezo wa kwanza bila ya Romain Folz, Uwanja wa Mkapa. Hii ni baada ya Folz kufutwa kazi Oktoba 18,…
Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC | CAF Champions League | Highlights | Magoli yote |
Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC, ndivyo ubao wa matokeo umesomeka mara baada ya dakika 90 huko Eswatini. Matokeo hayo ni ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya pili…
SportPesa Goal Rush washindi 11-17 Oktoba, 2025 hawa hapa
Nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 11-17 Oktoba 2025. Hii ni…
Romain Folz amefukuzwa Yanga SC mrithi mikoba yake huyu hapa
Romain Folz amefukuzwa Yanga SC mara baada ya mchezo wa CAF Champions League kumalizika. Folz aliongoza mchezo uliosha kwa Yanga SC kufungwa goli 1-0 dhidi ya Silver Strikers ambaoni hatua…
Yanga SC 0-1 Silver Strikers CAF Champions League 2025 | Highlights, goal
Yanga SC 0-1 Silver Strikers CAF Champions League ni matokeo rasmi katika mchezo wa kwanza, Uwanja wa Bingu. Goli la ushindi limefungwa dakika ya 76 na Andulu Yosefe. Unakuwa ni…
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League 2025 ni leo October 18, 2025,lineup, H2H
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League ni leo Oktoba 18, 2025 Uwanja wa Bingu-Malawi. Silver Strikers inatajwa kuwa na hatari ikiwa nyumbani kwa kuwa haikupoteza mechi hivi karibuni.…
Nsingizini Hotspurs vs Simba SC CAF Champions League| Mtihani wa kwanza wa Meneja Mkuu Pantev
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs mechi kali inayotarajiwa kupigwa Jumapili Oktoba 19, 2025 ndio mtihani wa kwanza kwa meneja mkuu mpya wa kikosi hiko, Dimitar Pantev. Hii ni baada ya…
Liverpool vs Manchester United: Live Scores, Utabiri, vikosi, h2h, Takwimu na taarifa mpya za vikosi
Wikiendi hii ni ya moto pale Ligi Kuu soka England, maarufu EPL. Ipo michezo mingi, lakini mchezo unaotupiwa jicho zaidi ni ule wa Liverpool ambao wataikaribisha Manchester United Jumapili. Mchezo…
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League | H2H, kikosi kilichosafiri, utabiri
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League ni mechi kali itakayokuwatanisha wababe wawili Jumapili Oktoba 19 2025 Uwanja wa taifa wa Somhlolo. Katika mechi 19 zilizopita kwa Nsingizini Hotspurs…
