Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBCFeisal Toto
  • Azam FC yafikisha unbeaten mechi 18 msimu wa 2025/26
  • Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBC Premier League, Tanzania Kwaraa, Manyara
  • Matokeo na msimamo wa hivi punde tumekosogezea hapa

Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBC Premier League, Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Matajiri wa Dar wameangusha pointi mbili. Ilikuwa ni vita kujinasua kutoka hatari ya kushuka daraja na vita yakupanda nafasi ya pili.

SOMA HII: Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC 2025/26 | Highlights, msimamo, h2h, ratiba mechi zijazo

Vuna mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Ni sasa hivi unavuna mamilioni ukipaisha Kindege cha SportPesa. Ni rahisi sana hasa ukizingatia Marubani wapo makini. Cheza Aviator upate mgao wako.

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBC Premier League

Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBC
Mbeya City FC vs Azam FC. NBC Premier League.

Dakika 90 zimekamilika ubao umesoma Mbeya City FC 0-0 Azam FC. Matajiri wanaendelea kudunda na rekodi yakutofungwa. Huu ni mchezo wa 18 haijapoteza.

Ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 34. Ushindi ni mechi 8 na imepata sare 10. Mbeya City baada ya mechi 18 ushindi ni mechi 4, sare 5 ikipoteza mechi 9.

SOMA HII: Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby/ Highlights, standings, statics

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Takwimu mchezo Mbeya City FC 0-0 Azam FC

Mbeya City FC Azam FC
3Mashuti9
1Lenga lango0
42%Umiliki58%
2Mashuti yasiyolenga lango9
0Kadi nyekundu0
3Kadi ya njano1
1Kona7
0Magoli0

Wachezaji walioonyeshwa kadi

Mbeya City FC 0-0 Azam FC NBC
Mbeya City FC vs Azam FC.

Hijjah Lidah dakika ya 54, Riphat Msuya dakika ya 75, Hashimu Mussa dakika ya 81 kwa Mbeya City FC. Pascal Msindo dakika ya 45+3 wa Azam FC. Hakuna kadi nyekundu iliyotolewa.

Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

 Msimamo wa NBC Premier League uliobereshwa hivi punde. Mbeya City FC nafasi ya 12 pointi 17. Azam FC nafasi ya 3 pointi 34.

POSMPWDLPTS
Yanga SC18135044
Simba SC17106136
3. Azam FC18810034
4. JKT Tanzania1878329
5.Singida Black Stars1884628
6.Pamba Jiji FC1868426
7.TRA United1866624
8. Dodoma Jiji FC1866624
9.Mtibwa Sugar1858523
10.Namungo FC1857622
11.Mashujaa FC1848620
12.Mbeya City1845917
13.Coastal Union1837816
14.Fountain Gate1744916
15.Tanzania Prisons18341113
16. KMC FC1822148

SOMA HII: Azam FC 2025: Mwongozo Kamili Kuhusu Kikosi, Benchi la Ufundi, na Urithi wa Klabu

Hitimisho

Mbeya City FC 0-0 Azam FC matokeo rasmi NBC Premier League 2025/26. Matajiri wanagawana pointi moja ugenini. Inakuwa ni timu ya pili ambayo haijapoteza mchezo kwenye ligi kama Yanga SC.

Share this: