Kocha mpya Yanga SC huyu hapa, kuiwahi mechi ya Yanga SC vs Silver Strikers Jumamosi?
Wananchi wanajiandaa na mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika ya Yanga SC vs Silver Strikers. Huku mchezo huu ukitarajiwa kupigwa keshokutwa Jumamosi, uongozi wa Yanga SC umeibuka na kuweka…
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League, 2nd leg inachezwa Oktoba 25 2025| livescore, highlights
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League ni bure. Hii ni kuelekea mchezo wa marudiano utakaochezwa Oktoba 25, 2025 Uwanja wa Benjamini Mkapa. Sababu kubwa ya kuondoa viingilio na…
Real Madrid vs Juventus UEFA Champions League 22 Oct 2025: live score, H2H, vikosi, utabiri
Real Madrid vs Juventus ni vita ya vigogo wawili wa soka la Ulaya, ambayo itapigwa leo Jumatano usiku katika Uwanja wa Estadio Santiago Bernabeu. Huu ni mwendelezo wa michezo ya…
Arsenal vs Atlético Madrid UEFA Champions League: live score, H2H, vikosi, utabiri
Arsenal vs Atlético Madrid ni mchezo mkali utakaopigwa usiku wa leo, ambapo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Huu ni mchezo wa hatua ya makundi, ya mashindano ya UEFA Champions League…
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League 2025 |Utabiri, H2H
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League ni mchezo wa maamuzi utakaopigwa Oktoba 26 Jumapili, Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo uliochezwa Oktoba 19 2025 ugenini mnyama alipata ushindi wa…
SportPesa Game Changers: From Tanga to Morogoro — Empowering Tanzania’s grassroots football dream
Across Tanzania, football isn’t just a game — it’s a language of hope, unity, and ambition. And for thousands of young players from dusty community pitches to small-town tournaments, that…
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League Oktoba 25 |Mbeba mikoba ya Folz kazini
Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League Oktoba 25,2025 utakuwa mchezo wa kwanza bila ya Romain Folz, Uwanja wa Mkapa. Hii ni baada ya Folz kufutwa kazi Oktoba 18,…
Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC | CAF Champions League | Highlights | Magoli yote |
Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC, ndivyo ubao wa matokeo umesomeka mara baada ya dakika 90 huko Eswatini. Matokeo hayo ni ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya pili…
SportPesa Goal Rush washindi 11-17 Oktoba, 2025 hawa hapa
Nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 11-17 Oktoba 2025. Hii ni…
