AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia/ Highlights, fixtures, standings
AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia kwa mujibu wa ripoti. Usiku wa kuamkia Januari 4 timu ya taifa ya Tunisia ilikwama kufuzu hatua ya robo fainali.…
Morocco vs Tanzania AFCON 2025: Ratiba, Live score, lineups, h2h, prediction, Habari za timu
Hatumwi mtoto dukani! Moto utawaka Jumapili hii nchini Morocco kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025. Ni mechi ya Morocco vs Tanzania inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Makala…
AFCON 2025: Matokeo, hawa hapa wafungaji bora kabla ya Ratiba ya 16 bora, Feisal na Msuva wamo?
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), yanazidi kunoga nchini Morocco. Mashindano hayo yameingia raundi ya pili 16 bora (Round of 16). Mashindano haya yamekuwa na msisimko mkubwa,…
AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba/ Morocco vs Tanzania kuwashangaza wengi, msimamo
AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba hii hapa ikiwa tayari kwa wababe kuendelea na kazi 2026. Hii ni baada ya kukamilisha hatua ya makundi na kila timu ikipata kile…
Mohamed Damaro Camara ametambulishwa Yanga SC/ Marouf Tchakei anafuata
Mohamed Damaro Camara ametambulishwa Yanga SC kuwa mchezaji mpya 2025/26. Nyota huyo alikuwa ndani ya kikosi cha Singida Black Stars. Kiungo huyu mshambuliaji anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa Jangwani. Ni…
AFCON 2025: Matokeo na Ratiba, hizi hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano (16 bora)
Historia inaendelea kuandikwa nchini Morocco katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Mashindano hayo kwa sasa yameingia hatua ya mtoano ambapo timu mbalimbali zinapambana kusaka tiketi ya…
AFCON 2025: Hizi hapa nchi 5 zilizotolewa mapema
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), yanaendelea kutimua vumbi nchini Morocco. Mashindano hayo kwa sasa yameingia hatua ya mtoano ya timu 16 bora. Katika kuingia hatua hiyo,…
