Morocco vs Tanzania AFCON 2025: Ratiba, Live score, lineups, h2h, prediction, Habari za timu
Hatumwi mtoto dukani! Moto utawaka Jumapili hii nchini Morocco kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025. Ni mechi ya Morocco vs Tanzania inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Makala…
AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan/ Highlights, goals, award, fixtures
AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Aamir Abdallah alipachika goli la kuongoza kwa Sudan. Dakika ya 29 Senegal walisawazisha na kuongeza…
Senegal wafuzu Robo Fainali AFCON 2025: Matokeo, Ratiba ya mpaka fainali nani na nani kukutana?
Taifa la Senegal limeandika rekodi mpya, ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Hii ni baada ya kuwa timu ya kwanza, kufuzu hatua ya Robo Fainali ya…
AFCON 2025: Matokeo, hawa hapa wafungaji bora kabla ya Ratiba ya 16 bora, Feisal na Msuva wamo?
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), yanazidi kunoga nchini Morocco. Mashindano hayo yameingia raundi ya pili 16 bora (Round of 16). Mashindano haya yamekuwa na msisimko mkubwa,…
AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba/ Morocco vs Tanzania kuwashangaza wengi, msimamo
AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba hii hapa ikiwa tayari kwa wababe kuendelea na kazi 2026. Hii ni baada ya kukamilisha hatua ya makundi na kila timu ikipata kile…
Mohamed Damaro Camara ametambulishwa Yanga SC/ Marouf Tchakei anafuata
Mohamed Damaro Camara ametambulishwa Yanga SC kuwa mchezaji mpya 2025/26. Nyota huyo alikuwa ndani ya kikosi cha Singida Black Stars. Kiungo huyu mshambuliaji anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa Jangwani. Ni…
AFCON 2025: Matokeo na Ratiba, hizi hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano (16 bora)
Historia inaendelea kuandikwa nchini Morocco katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Mashindano hayo kwa sasa yameingia hatua ya mtoano ambapo timu mbalimbali zinapambana kusaka tiketi ya…
AFCON 2025: Hizi hapa nchi 5 zilizotolewa mapema
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), yanaendelea kutimua vumbi nchini Morocco. Mashindano hayo kwa sasa yameingia hatua ya mtoano ya timu 16 bora. Katika kuingia hatua hiyo,…
Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili/ Okello mkataba mpya
Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili kuwa ni njano na kijani. Mchezaji huyu aliyekuwa anatumikia Klabu ya TRA anakuwa wakwanza kutambulishwa. Huyu ni kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa…
