FUNDI SELEMALA ASHINDA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA.
Mkazi wa Mbezi Beach Africana, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar-Es-Salaam John Willbaard Bugenyi, ameshinda shilingi 4,727,156, katika Jackpot Bonus ya SportPesa iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 11.Akizungumza baada ya makabidhiano ya mfano wa hundi…