Yanga SC haijafungwa mechi 19Depu (-)
  • Yanga SC haijafungwa mechi 19 NBC Premier League 2025/26
  • Mchezo ujao kwa ni Simba SC vs Yanga SC, Mei 3, 2026 Uwanja wa Mkapa
  • Matokeo ya mchezo uliopita Yanga SC 6-0 Mbeya City, Uwanja wa KMC Complex

Yanga SC haijafungwa mechi 19 NBC Premier League 2025/26. Aprili 16, 2026 waliichapa magoli 6-0 Mbeya City, Uwanja wa KMC Complex. Mara baada ya mchezo huo, Mecky Maxime aliyekuwa kocha wat imu hiyo alifutwa kazi.

SOMA TAARIFA HII: Yanga SC Unbeaten NBC Premier League 2025/26: Haya hapa Matokeo yote na rekodi za Wananchi msimu huu, Azam hawavumi lakini wamo

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Yanga SC haijafungwa mechi 19 NBC Premier League 2025/26

Yanga SC haijafungwa mechi 19
Dube Prince mshambuliaji wa Yanga SC.

Yanga SC haijafungwa mechi 19 NBC Premier League ikipata ushindi mechi 14 na sare mechi 5. Ni timu mbili pekee hazijapoteza ikiwemo na Azam FC. 2021/22 walitwaa taji wakiwa ni unbeaten.

Timu hiyo ina rekodi ya kufikisha unbeaten 49 misimu mitatu mfululizo. Kuanzia 2020-21, 21-22 na ilivunjwa 2022/23 kwa kufungwa 2-1 na Ihefu Novemba 29, 2022. Je 2025/26 rekodi itajirudia?

SOMA HII: Muungano Cup 2026 | Ratiba, Simba SC, Yanga SC kukiwasha Robo Fainali

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Matokeo ya Yanga SC 2025/26

Yanga SC haijafungwa mechi 19
Aziz Andabwile kwenye mchezo wa ushindani. Source: Yanga SC.

Hapa tunakuletea matokeo ya mechi zote 19 za Yanga SC NBC Premier League. Kinara wa ufungaji magoli ni Prince Dube akifikisha 8. Raia huyo wa Zimbabwe anaongoza kutwaa tuzo za Man of The Match akiwa nazo 3.

TareheTimu (H)MatokeoTimu (A)
Aprili 16, 2026Yanga SC6-0Mbeya City
Aprili 8, 2026Pamba Jiji FC Yanga SC
April 4, 2026Yanga SC3-0  Tanzania Prisons
March 21, 2026Mtibwa Sugar1-1  Yanga SC
March 18, 2026TRA United0-0  Yanga SC
March 15, 2026Azam FC0-0  Yanga SC
March 12, 2026Tanzania Prisons0-1  Yanga SC
March 5, 2026Singida Black Stars0-3  Yanga SC
March 1, 2026Yanga SC0-0  Simba SC
Feb 25, 2026Yanga SC5-0  JKT Tanzania
Feb 22, 2026Namungo FC0-1  Yanga SC
Jan 27, 2026Yanga SC3-1Dodoma Jiji  
Jan 19, 2026Yanga SC6-0  Mashujaa
Dec 7, 2026Coastal Union0-1  Yanga SC
Dec 4, 2026Yanga SC2-0  Fountain Gate
Nov 9, 2026Yanga SC4-1KMC  
Oktoba 28, 2026Yanga SC2-0Mtibwa Sugar  
Sep 30, 2026Mbeya City0-0  Yanga SC
Sep 24, 2026Yanga SC3-0  Pamba Jiji FC

Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

Yanga SC haijafungwa mechi 19
Pacome kiungo mshambuliaji wa Yanga SC.

SOMA HII: Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup | Mataji miaka minne mfululizo

 Msimamo wa NBC Premier League uliobereshwa hivi punde. Yanga SC wanaongoza ligi na pointi 47. Simba SC nafasi ya pili ina pointi 42.

POSMPWDLPTS
Yanga SC19145047
Simba SC19126142
3. Azam FC19910037
4. Singida Black Stars1985629
5.JKT Tanzania1978429
6.TRA United1976627
7.Pamba Jiji FC1968526
8. Dodoma Jiji FC1966724
9.Mtibwa Sugar1958623
10.Namungo FC1957722
11.Mashujaa FC1949621
12. Coastal Union1947819
13.Fountain Gate19541019
14.Mbeya City19451017
15.Tanzania Prisons19351114
16. KMC FC1923149

Hitimisho

Yanga SC haijafungwa mechi 19 NBC Premier League 2025/26. Mabingwa hao mara 31 wa ligi mchezo unaofuata ni Mei 3, 2026 itakuwa Kariakoo Dabi. Mzunguko wa kwanza matokeo ilikuwa Yanga SC 0-0 Simba SC.

Share this: