arsenal vs Chelsea- Ni Dabi ya London.
Leo usiku katika dimba la Emirates tutaishuhudia dabi ya London kati ya vinara wa ligi kuu ya EPL, baina ya Arsenal na Chelsea. Arsenal wanashuka dimbani wakiwa na shinikizo la…
Leo usiku katika dimba la Emirates tutaishuhudia dabi ya London kati ya vinara wa ligi kuu ya EPL, baina ya Arsenal na Chelsea. Arsenal wanashuka dimbani wakiwa na shinikizo la…
Huenda timu ya Wananchi Yanga, siku ya kesho ikaandika rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, iwapo itakamilisha kazi waliyoianza wiki iliyopita…
Ligi Kuu ya Italia almaarufu kama Serie A, imefikia patamu, ambapo timu ya AS Roma itachuana na AC Milan katika mwendelezo wa mechi ya ligi kuu ya Italia. Ukiachana na…
Patashika ya Ligi Kuu ya England itaendelea kwa mchezo kati ya Tottenham Hotspurs dhidi ya Manchester United utakaopigwa kwenye dimba la Tottenham mnamo April 27,2023. Mchezo huu ni vita ya…
Heka heka za Ligi Kuu ya England zinaendelea kurindima siku ya kesho. Stori kubwa zaidi ni mchezo baina ya klabu mabingwa watarajiwa ambao ni kati ya Manchester City na Arsenal…
Patashika nguo kuchanika ya michezo ya robo fainali, michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, itaunguruma hapo kesho, ambapo wawakilishi wa Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kizito katika…
Siku ya kesho katika dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es salaam, kuanzia majira ya saa 10 kamili Jioni, kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mchezo wenye hadhi kubwa, wa…
Kipute cha michezo ya mkondo wa pili Ligi ya mabingwa bara la Ulaya, (UEFA Champions Legue) kitaendelea tena kesho, Jumatano ya April 19,2023, safari hii ikiwakutanisha timu ya Bayern Munich…
Kesho katika dimba la Stanford Bridge ni siku ambayo Chelsea maarufu kama ‘’The Blues’’, zamani The Roman Army, watakuwa na kibarua ambacho matokeo yake yataamua mustakhabali wa timu hiyo kuhusu…