Simba SC vs Mafunzo SCShomari Kapombe
  • Simba SC vs Mafunzo SC Muungano Cup 2026, Zanzibar
  • Mchezo uliopita matokeo yalikuwa Namungo FC 1-3 Simba SC, NBC Premier League
  • Yanga SC ni mabingwa watetezi wa taji hili chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves

Simba SC vs Mafunzo SC Muungano Cup 2026 ni mchezo unaofuata kwenye ratiba. Mchezo uliopita ilikuwa Namungo FC 1-3 Simba SC, NBC Premier League. Haya ni mashindano maalumu yanayotarajiwa kufanyika Zanzibar. Mabingwa watetezi wa taji hili ni Yanga SC.

SOMA TAARIFA HII: Usajili wa Chama Simba SC washtua! Mayele, Kagere, Okwi wafunguka Mazito

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako sasa, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Simba SC vs Mafunzo SC Muungano Cup 2026

Simba SC vs Mafunzo SC
Wachezaji wa Simba SC kwenye moja ya mchezo wa ushindani. Source: Simba SC.

Simba SC vs Mafunzo SC Muungano Cup mchezo unatarajiwa kuchezwa Aprili 23, 2026. Mnyama 2025 hakushiriki mashindano haya kutokana na kushiriki mashindano ya CAF Confideration Cup. Simba SC ilitinga hatua ya fainali ilipocheza na RS Berkane ya Morocco.

Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa wababe hawa kukutana Muungano Cup. Kutokana na umuhimu wa mashindano haya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, (NBC) imesimama kwa muda. Ni Mei 3, 2026 ligi inatarajiwa kurejea ambapo Simba SC vs Yanga SC ni mchezo ujao, Uwanja wa Mkapa.

Steve Berkar, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mashindano hayo. Wachezaji wa timu hiyo wamerejea Dar wakitokea Mtwara wapo katika maandalizi ya mwisho kuelekea Zanzibar. Miongoni mwa wachezaji waliorejea ni Seleman Mwalimu, Shomari Kapombe, Ellie Mpanzu na Libase Gueye.

SOMA HII: Simba SC kuigomea Kariakoo Dabi? Kisa Uwanja wa New Amaan Complex, barua yajibiwa

image

Matokeo ya mchezo uliopita kwa Simba SC

Simba SC vs Mafunzo SC
Mchezaji wa Simba SC Ellie Mpanzu kwenye mchezo vs Namungo FC. Source: Simba SC.

Namungo FC 1-3 Simba SC ni matokeo ya mchezo uliopita walipopata pointi tatu. Wafungaji walikuwa ni Libasse Gueye dakika ya 12, Anicet Oura dakika ya 25 na Elie Mpanzu dakika ya 74. Kwa upande wa Namungo FC mfungaji alikuwa Heritier Makambo kwa mkwaju wa penati dakika ya 33.

Huo ulikuwa ni mchezo wa 14 kwa wababe hawa kukutana ndani ya ligi. Simba SC imepata ushindi kwenye mechi 8 huku sare ikiwa ni mechi 5. Oura alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo.

Ratiba ya robo fainali Muungano Cup 2026

Yanga SC vs Maembe Makumbi, saa 1:15 usiku, Aprili 21, 2026

KVZ vs Azam FC, saa 1:15, usiku, Aprili 22, 2026

Mlandege FC vs Singida Black Stars, saa 10:15, jioni Aprili 23, 2026

SOMA HII: Dimitar Pantev kibarua kimeota nyasi Simba SC/ CAF Champions League matokeo, mrithi wake

Hitimisho

Simba SC vs Mafunzo SC Muungano Cup 2026 mashindano yakianzia hatua ya robo fainali. Azam FC, Yanga SC ni timu ambazo zinashiriki kutoka Bara. Je Simba SC vs Yanga SC watakutana wakishinda mechi zao? Matokeo na ratiba tutakupatia hapa SportPesa Blog.

Share this: