Gabon U23 vs Egypt U23- Africa Nations Cup U23 inazidi kunoga
Leo Jumamosi ya Tarehe 1- Julai 2023, pale katika Uwanja wa Grand Stade De Tanger utapigwa mchezo wa pili wa kundi B, wa kombe la Africa Nations Cup U-23 , baina ya timu ya taifa ya Vijana ya Gabon U23…