MTIBWA SUGAR 2023/24 WANAJITAFUTA, MIKONONI MWA MNYAMA
MTIBWA SUGAR 2023/24 wanajitafuta wakulima hao wa miwa katika kupata matokeo ndani ya uwanja jambo ambalo linafanyiwa kazi na benchi la ufundi kwa ukaribu ili timu hiyo kusalia ndani ya…
MTIBWA SUGAR 2023/24 wanajitafuta wakulima hao wa miwa katika kupata matokeo ndani ya uwanja jambo ambalo linafanyiwa kazi na benchi la ufundi kwa ukaribu ili timu hiyo kusalia ndani ya…
KOCHA Abdelhakh Benchikha, kocha wa kazi amesema kuwa malengo makubwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa ni kucheza hatua ya nusu fainali na kutwaa ubingwa lakini ilishindikana kwa kuwa haikuwa…
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Yanga kinachoongoza Ligi Kuu Bara baada ya kucheza jumla ya mechi 24 kikikomba pointi 62 kibindoni ameweka wazi kuwa kulikuwa na nafasi…
MRITHI mikoba ya Baleke Jean unyamani Simba aliyekutana na mkono wa asante kwenye dirisha dogo msimu wa 2023/24 amekingiwa kifua na uongozi wa timu hiyo kwa kubainisha kwamba akipewa muda…
VITA inaendelea ndani ya kikosi cha Yanga kinachodhaminiwa na Kampuni ya SportPesa kwenye msako wa pointi tatu ndani ya msimu wa 2023/24 licha ya kutoshana nguvu na wajeda JKT Tanzania…
AZAM FC gari limewaka kwa kukusanya jumla ya pointi 54 kibindoni ndani ya ligi huku ikiwaacha kwa jumlaya pointi 8 wapinzani wao Simba wenye pointi 46 timu hizi mbili zipo…
Maumivu makali wanayopitia yana mwisho wake wanaamini unyamani Dakika 180 mateso matupu mbele ya Yanga ndani ya Kariakoo Dabi Mwamba Aziz KI anawapa mateso mwanzo mwisho ndani ya uwanja MAUMIVU…
Kariakoo Dabi joto linazidi kupanda kwa kasi kila pande Tambo zatawala kila kona kubainisha kwamba ushindi ni lazima ndani ya dakika 90 Azam FC wabanana na Mashujaa kwenye ligi, Namungo…
Mnyama Simba ana hesabu nzito kuelekea Kariakoo Dabi Aprili 20 2024 Uwanja wa Mkapa Ikumbukwe kwamba kambi imewekwa Zanzibar kujifua kumkabili mtani Yanga SC. Aziz KI ana balaa zito kwa…