UTATA MTUPU ISHU YA BRUNO NA DUBE 2023/24
MIKATABA ya nyota wawili kwenye timu mbili tofauti imezua utata Dau la Dube weka mbali na watoto, Bruno huru kujiunga na timu yoyote Simba walipata nao tabu kila walipokutana nao…
MIKATABA ya nyota wawili kwenye timu mbili tofauti imezua utata Dau la Dube weka mbali na watoto, Bruno huru kujiunga na timu yoyote Simba walipata nao tabu kila walipokutana nao…
Kisasi kulipwa dhidi ya Jwaneng Galaxy iliyosababisha maumivu kwa mashabiki wa Simba Mashabiki waitwa kwa wingi na tiketi zimeshaanza kuuzwa HENOCK Inonga namba 29 mgeni rasmi kimataifa kuelekea mchezo wa…
Yanga wanalitaka jambo hili kubwa 2024 Waarabu wa Misri kukutana na balaa zito la mastaa wote Pacome Day yaacha gumzo kila kona YANGA wanalitaka jambo hili kubwa 2024 kwa kupata…
Mwamba Mudathir ana balaa ndani ya uwanja Mudathir balaa lake kwenye mabao ya usiku Anaingia kwenye rekodi ya mfungaji wa kwanza Yanga MWAMBA MUDATHIR NA BALAA LAKE MWAMBA Mudathir ana…
Mbeba mikoba ya Ayoub Lakred Simba ni huyu Kusaka pointi tatu ugenini mbele ya ASEC Mimosas Mbadala wake atajwa kamili kuanza langoni MBEBA mikoba ya Ayoub Lakred ndani ya kikosi…