Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026Misri vs Argentina
  • Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora ni Julai 7, 2026 mabingwa watetezi wakiwa kazini
  • Lionel Messi ni mchezaji wakuchungwa zaidi katika mchezo huu kutokana na ubora alioonyesha katika mechi zilizopita
  • Mohamed Salah amebeba matumaini makubwa kwa Misri kutinga hatua ya robo fainali ikiwa atafunga mabao

Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026 watakutana katika raundi ya 16 Uwanja wa Mercedes-Benz mjini Atlanta. Ni Jumanne Julai 7 saa 01:00 usiku kwa Afrika Mashariki huku nafasi ya kufuzu robo fainali ikiwa mezani. Mabingwa watetezi wanaongozwa na Lionel Messi ambaye yupo katika kiwango bora na Misri inaongozwa na Mohamed Salah ambaye anaonyesha uimara.

Ijue ratiba ya 16 bora FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora | Mechi zote 8 | Utabiri | Odds kubwa | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Argentina vs Misri angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Argentina vs Misri
Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026

Argentina vs Misri taarifa ya mechi

MashindanoMchezoUwanjaMudaTareheJukwaa la Kubashiri
FIFA Kombe la Dunia 2026Argentina vs MisriMercedes-Benz, AtlantaSaa 1:00 jioni Afrika MasharikiJulai 7, 2026SportPesa

Argentina vs Misri taarifa ya timu

Argentina wamekuwa moto katika Kombe la Dunia 2026: ushindi wa 3-0 dhidi ya Algeria, 2-0 dhidi ya Austria na 3-1 dhidi ya Jordan katika hatua ya makundi. Wakashinda 3-2 dhidi ya Cape Verde katika raundi ya 32 kwa muda wa nyongeza. Ni ushindi hatua kwa hatua. Kwa upande wa Misri, safari imekuwa ndefu na yenye changamoto: sare dhidi ya Ubelgiji na Iran, ushindi wa 3-1 dhidi ya New Zealand, kisha wakapita dhidi ya Australia kwa mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1 katika raundi ya 32.

Kuelekea mchezo huu Argentina inaingia ikiwa ni timu yenye nguvu. Misri inahitaji kuonyesha maajabu kwenye mchezo huu mgumu. Kwa upande mwingine, Misri ikiongozwa na Mohamed Salah imepambana kwa nguvu kufika hatua hii, ikishinda kwa juhudi na ari kubwa, lakini bado inaingia kama underdogs dhidi ya Argentina yenye uzoefu na nguvu.

Argentina vs Misri wachezaji wakuchungwa

MchezajiTimuMaelezo
Lionel MessiArgentinaAmefunga mabao 7, kinara wa Golden Boot na injini ya mafanikio ya Argentina.
Lautaro MartinezArgentinaAmefunga bao 1, mshambuliaji wa kati na chombo cha Messi kupeleka mashambulizi.
Mohamed SalahMisriAmefunga bao 1, nyota wa Misri na tegemeo kubwa la kupata goli.
Emam AshourMisriMfungaji bora wa Misri akiwa na mabao 2, kiungo anayebeba tishio kubwa la mashambulizi.

Argentina vs Misri matokeo ya hivi karibuni

TimuMatokeoMechi za KaribuniMuhtasari
ArgentinaW W W WJul 3: Argentina 3-2 Cape Verde (W, muda wa nyongeza) Jun 27: Jordan 1-3 Argentina (W) Jun 22: Argentina 2-0 Austria (W) Jun 16: Argentina 3-0 Algeria (W)Mechi nne wamepata ushindi, Cape Verde pekee waliwalazimisha muda wa nyongeza.
MisriD W D DJul 3: Australia 1-1 Misri (D, Misri walishinda kwa penalti) Jun 26: Misri 1-1 Iran (D) Jun 21: New Zealand 1-3 Misri (W) Jun 15: Belgium 1-1 Misri (D)Timu ngumu kushindwa lakini haina mabao mengi ilishinda kwa penalti vs Australia. Salah lazima awe bora ili kuisumbua Argentina.

H2H Argentina vs Misri

Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026
Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026

Zitambue takwimu za Portugal vs Spain: Prediction Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 16 bora, h2h, odds na habari za timu

Rekodi zinaonyesha timu hizi zimekutana mara moja kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Ilikuwa Machi 26,2008 na ushindi ulikuwa kwa Argentina wakipata mabao 2-0. Huu unakuwa mchezo wa kwanza kukutana katika hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2026.

Prediction Argentina vs Misri

Argentina vs Misri katika raundi ya 16 ya Kombe la Dunia 2026 ni mechi yenye mvuto mkubwa. Misri itajilinda kwa wingi na kutegemea sana uwezo wa Mohamed Salah, lakini Argentina imekuwa timu bora zaidi ya mashindano haya na Lionel Messi yupo katika kiwango kisichozuilika kwa sasa. Utabiri ni Argentina kushinda, huku Messi akitarajiwa kufunga wakati wowote na matokeo ya 2-0 yakiwa chaguo la ziada. Ni ulinzi wa kishujaa pekee wa Misri unaweza kuzuia mlango usifunguke.

Haya ni maoni ya mhariri sio matokeo kamili. Mshindi mmoja lazima apatikane huku nafasi ya mchezo kwenda muda wa nyongeza ukiwa ni asilimia ndogo.

Namna ya kubashiri SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio la Argentina vs Misri kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Argentina vs Misri
Argentina vs Misri

Argentina vs Misri maswali yanayoulizwa sana

Argentina vs Misri mchezo ni hatua gani?

Huu ni mchezo wa hatua ya 16 bora FIFA Kombe la Dunia

Argentina vs Misri nini kitatokea wasipofungana dakika 90?

Wasipofungana zitaongezwa dakika 30 mshindi asipopatikana watapigana penati

Argentina vs Misri nani mwenye mabao mengi?

Ni Messi amefunga mabao 7

Argentina vs Misri utachezwa saa ngapi?

Mchezo huu utachezwa saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Hitimisho

Argentina vs Misri FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo unaokwenda kuandika historia kubwa katika mashindano haya. Misri yenye Salah imekuwa na mwendo wakushangaza katika mechi ikipata matokeo. Argentina imekuwa bora katika mechi nne ikipata ushindi mfululizo. Ni pambano kali litakaloamuliwa na wachezaji wenye uwezo na ari uwanjani, Messi vs Salah.

Share this: