Nusu fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 England vs Argentina: Wachezaji wakuchungwa, fomu ya sasa, odds
Mchezo mkali nusu fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 England vs Argentina unasubiriwa kwa shauku kubwa. Hii inatokana na rekodi za timu hizo kuwa katika viwango bora wakishinda mech izote…
