Kwa nini FIFA inapaswa kutoa nafasi kwa wachezaji wa ligi za ndani za Afrika?Hakimi Achraf
  • Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026 ni hatua ya robo fainali Julai 9,2026
  • Mbappe anapambania kiatu cha ufungaji bora akiwa amefunga mabao 7 na ametoa pasi mbili za mabao
  • SportPesa Blog imekuletea uchambuzi wa mchezo huu unaowahusisha wawakilishi kutoka Afrika, h2h na takwimu muhimu

Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026 ni hatua ya robo fainali. Uwanja wa Boston utachezwa Julai 9, 2026 saa 5:00 usiku.Mshambuliaji tegemeo kwa Ufaransa ni Kylian Mbappe ambaye amefunga mabao 7 akiwa sawa na Lionel Messi mshambuliaji wa Argentina.

Hii hapa ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Ufaransa vs Morocco angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

France vs Morocco
France vs Morocco odds zilizoimarishwa

Ufaransa vs Morocco taarifa muhimu kuhusu mechi

HatuaTareheMudaUwanjaJukwaa la Kubashiri
Robo FainaliAlhamisi, 9 Julai 2026Saa 5:00 Usiku (EAT)Boston StadiumSportPesa

Ufaransa vs Morocco taarifa kuhusu timu

Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026
Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia

Mwisho safari ya CR 7 upo hivi: Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026: Mikel Merino afunga akihitimisha safari ya Cristiano Ronaldo

Morocco wamekuwa na mshikamano na kasi kwenye mechi za ushindani ambazo wanacheza. Wamekuwa wakivutia mashabiki kwa kupambana kwa moyo wote na kuonyesha kwamba wanaweza kushindana na timu kubwa duniani.Mchezo huu wa robo fainali unatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa, ukileta pamoja historia tajiri ya Ufaransa na ari ya kupambana vs Morocco.

Ufaransa walifika hatua ya robo fainali kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Paraguay. Miongoni mwa mechi ambazo zilikuwa na ushindani mkubwa. Hivyo mchezo dhidi ya Morocco nao unasubiriwa kwa shauku kubwa.

Morocco walipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Canada, wakionyesha wazi kwamba wamebadilika.Tofauti hii ni muhimu kwa sababu soka la mtoano (knockout football) linahitaji matokeo ni kuhusu uimara na uwezo wa kudumu.

Tatizo kwa kocha Didier Deschamps si kwamba Ufaransa walihangaika dhidi ya timu yenye nidhamu ya kiulinzi. Timu kubwa mara kwa mara hukutana na upinzani mkali katika hatua za mtoano. La kutia wasiwasi zaidi lilikuwa ukosefu wa mbinu mbadala mara tu mifumo yao waliyozoea ilipokataliwa.

Ufaransa vs Morocco wachezaji hatari

Mbappé bado ni hatari sana katika mashambulizi ya kushtukiza, na Ufaransa wana hazina ya vipaji vya kushambulia, lakini mechi dhidi ya Paraguay ilionyesha kwamba muundo wao wa kushambulia unaweza kuwa wa kutabirika pale wapinzani wanapokataa kushiriki katika mchezo wa wazi.

Morocco wanazidi kuonekana kama timu inayofahamu vyema soka la mashindano lini wakubali shinikizo, lini wasimamishe kasi ya mchezo, na lini washambulie kwa maamuzi ya haraka.Morocco wanaweza kuwa na kasi ya ushindi, lakini Ufaransa bado wana historia na hadhi ya juu.

H2H Ufaransa vs Morocco

TareheMechiMatokeoMashindano
14 Des 2022Ufaransa vs Morocco2 – 0Kombe la Dunia, Nusu Fainali
16 Nov 2007Ufaransa vs Morocco2 – 2Mechi ya Kirafiki
6 Jun 2000Morocco vs Ufaransa1 – 5Mechi ya Kirafiki
20 Jan 1999Ufaransa vs Morocco1 – 0Mechi ya Kirafiki
29 Mei 1998Morocco vs Ufaransa2 – 2 (Morocco walishinda 6-5 kwa penalti)Kombe la Hassan II
5 Feb 1988Ufaransa vs Morocco2 – 1Mechi ya Kirafiki

Ufaransa vs Morocco fomu za timu mechi 6 zilizopita

TimuMatokeoTareheMashindano
Ufaransa1 – 0 vs Paraguay (u)4 Jul 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 16
3 – 0 vs Sweden (ny)30 Jun 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 32
4 – 1 vs Norway (u)26 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi I
3 – 0 vs Iraq (ny)22 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi I
3 – 1 vs Senegal (ny)16 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi I
3 – 1 vs N Ireland (ny)8 Jun 2026Mechi ya Kimataifa
Morocco3 – 0 vs Canada (u)4 Jul 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 16
1 – 1 vs Netherlands (u)30 Jun 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 32
4 – 2 vs Haiti (ny)24 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi C
1 – 0 vs Scotland (u)19 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi C
1 – 1 vs Brazil (u)13 Jun 2026Kombe la Dunia, Kundi C
1 – 1 vs Norway (ny)7 Jun 2026Mechi ya Kimataifa

Prediction Ufaransa vs Morocco

Kuelekea mchezo wa Ufaransa vs Morocco nafasi ya ushindi anapewa Ufaransa. Hii inatokana na kasi waliyonayo na uzoefu katika mechi za Kombe la Dunia. Kwa mujibu wa Opta Analyst ametoa asilimia 60.9 kwa Ufaransa kupata ushindi.

Matokeo ya mchezo huu itakuwa Ufaransa 2-1 Morocco. Haya ni maoni ya mhariri sio matokeo kamili.

Namna ya kubashiri SportPesa

France vs Morocco
France vs Morocco

Fungua ukurasa wa tukio la Ufaransa vs Morocco kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Ufaransa vs Morocco ni hatua gani?

Mchezo huu ni hatua ya robo fainali

Ufaransa vs Morocco itachezwa uwanja gani?

Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Boston

Ufaransa vs Morocco itachezwa muda gani?

Mchezo huu utachezwa saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Mbappe amefunga mabao mangapi?

Mbappe wa Ufaransa amefunga mabao 7 kwenye FIFA Kombe la Dunia 2026

Hitimisho

Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya robo fainali itachezwa Alhamisi. Kuna vita ya mbio za kiatu cha ufungaji bora huku Mbappe akitarajiwa kuongeza akaunti ya mabao.Mchezaji huyo amehusika kwenye pasi mbili za mabao akitengeneza nafasi 12 katika Kombe la Dunia.

Share this: