Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC | Matokeo na msimamo NBC Premier League

Ratiba ya mechi zijazo Yanga SCShalulile PShalulile P
  • Katika ratiba ya mechi zijazo Yanga SC kati ya 5, ugenini ni mechi 3 na itakuwa nyumbani kwenye mechi 2
  • Mabingwa watetezi wa NBC Premier League wana mechi kali mbele zikiwemo Simba SC vs Yanga SC, TRA United vs Yanga SC na Dodoma Jiji FC vs Yanga SC
  • Matokeo ya hivi punde Yanga SC 1-0 Geita Gold, mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Mwenge.
  • SportPesa Blog tumekuletea matokeo ya mechi zilizopita na ratiba ya mechi zijazo kwenye ligi

Tumekuletea ratiba ya mechi zijazo Yanga SC 2026/27 NBC Premier League. Timu hiyo inaongoza ligi ikiwa na pointi 18. Imepata ushindi katika michezo 6. Mchezo unaofuata ni Kariakoo Dabi, Simba SC vs Yanga SC, Oktoba 10, 2026 Uwanja wa Uhuru.Mabingwa hao watetezi wamerejea uwanja wa mazoezi wakijumuisha wachezaji muhimu akiwemo Clement Mzize, Aziz Ki, Dickson Job, Maxi Nzengeli.

SOMA HII PIA: Dabi ya Kariakoo Yanga SC: Ratiba, msimamo, usajili na maandalizi

Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Screenshot ---------- ------

Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC NBC Premier League

Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC
Maxi Nzengeli kiungo mshambuliaji wa Yanga SC
TareheMechi
Oktoba 10, 2026Simba SC vs Yanga SC
Oktoba 13, 2026TRA United vs Yanga SC
Oktoba 23, 2026Dodoma Jiji FC vs Yanga SC
Oktoba 27, 2026Yanga SC vs Mashujaa FC
Novemba Mosi 2026Yanga SC vs Kagera Sugar

Matokeo ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27

Kwenye mechi 6 Yanga SC imepata ushindi asilimia 100. Matokeo ya mchezo uliopita ilikuwa Yanga SC 1-0 Geita Gold. Pambano lililopita lilikuwa la kukata na shoka Uwanja wa KMC Complex.

TareheMechi
Agosti 15,2026Namungo FC 1-3 Yanga SC
Agosti 20,2026Yanga SC 4-1 Coastal Union
Agosti 24,2026Yanga SC 4-0 Coastal Union
Agosti 28,2026Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC
Agosti 31, 2026Fountain Gate 0-2 Yanga SC
Septemba 15, 2026Yanga SC 1-0 Geita Gold

SOMA HII HAPA: Dabi ya Kariakoo Yanga SC: Ratiba, msimamo, usajili na maandalizi

Msimamo wa NBC Premier League

Vinara wa ligi ni Yanga SC wakiwa na pointi 18. Safu ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 16. Pamba Jiji FC ya Mwanza inaburuza mkia ikiwa na pointi moja.

Simba SC vs Yanga SC 2026/27
Msimamo wa NBC Premier League

Hitimisho

Ratiba ya mechi zijazo za Yanga SC ni zakukata na shoka kutokana na ushindani uliopo. Mchezo unaosubiriwa kwa shauku na mashabiki ni Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Uhuru. Tayari timu imerejea kambini kwa maandalizi ya mechi zote zinazofuata.

Share this: