UEFA CL -------UEFA CL -------
  • UEFA Champions League 2026/27 third round inatarajiwa kuhitimishwa leo 11 Agosti 2026 kwa mechi za kufuzu, na kuthibitisha mechi na wapinzani wa hatua ya mtoano ‘Play Off’.
  • Ikumbukwe hii inathibitisha rasmi kuanza kwa msimu mpya wa 2026/27 wa mashindano ya UEFA Champions League.
  • Mechi 10 tofauti za mkondo wa pili zinatarajiwa kupigwa leo katika viwanja mbalimbali.
  • Hii inakuja wakati mashindano hayo yakiingia katika Makala yake ya 72 ya UEFA Champions League tangu kuanzishwa kwake na Makala hii inachambua kwa ufupi.

Hatua ya 3 ya kufuzu ya UEFA Champions League 2026/27 yaani UEFA Champions League 2026/27 Third UCL qualifying round inatamatika leo Jumanne. Mechi 10 zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, kwa ajili ya kupata timu zitakazofuzu hatua ya mtoano. Ikumbukwe Mashindano ya UEFA Champions League yameingia katika makala ya 72, tangu kuanzishwa kwake. Makala hii inakuletea baadhi ya dondoo muhimu za hatua hii.

Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million

Cheza Aviator na upate nafasi ya kushinda hadi TZS milioni 800 kwa raundi.

Kuhusu matokeo, ratiba na mtoano wa UEFA Champions League 2026/27 Third round

Ikumbukwe kwa mshindano ya msimu huu, tayari timu 29 zimefuzu moja kwa moja kwa hatua ya ligi ya UEFA Champions League msimu wa 2026/27. Nafasi 8 zilizobaki ndizo zinapambaniwa kwenye mechi za kufuzu. Mchakato wa kufuzu umehusisha raundi 3, na baada ya hapo hatua ya mtoano ‘Playoff’ kufuata.

Timu zinazoshindwa katika raundi za kufuzu za Champions League na Europa League hupewa nafasi nyingine ya kuendelea na mashindano kwa kushushwa kwenda Europa League au Conference League. Timu zinazopoteza katika hatua ya play-off ya Champions League na Europa League, huenda moja kwa moja kwenye hatua ya ligi ya Europa League na Conference League, mtawalia. Kwa taarifa zaidi kuhusu mfumo wa mashindano ya kufuzu, ikiwemo kanuni za usajili wa wachezaji, rejea kanuni rasmi za mashindano.

Mtaokeo ya michezo ya mkondo wa kwanza, raundi ya tatu ya kufuzu

UEFA champions League 2026/27
Matukio Bodoglimt

Mjällby 1-2 Slovan Bratislava

Ararat-Armenia 2-1 Celje

Levski Sofia 1-0 Kairat Almaty

Hapoel Beer-Sheva 1-0 Crvena Zvezda

GNK Dinamo 5-0 Kauno Žalgiris

Olympiacos 0-0 N.E.C.

Union SG 3-3 Bodø/Glimt

Sparta Praha 2-1 Lyon

Aarhus 2-1 Sabah

Fenerbahçe 2-0 Sturm Graz

KUSOMA KUHUSU KUFUZU HATUA YA 3 YA UEFA, SOMA HII: 2026/27 UEFA Champions League: Qualified teams, format, key dates and teams to watch

Mechi za Marudiano Jumanne, Agosti 11

Kairat Almaty vs Levski Sofia

Sabah vs Aarhus

Kauno Žalgiris vs GNK Dinamo

Crvena Zvezda vs Hapoel Beer-Sheva

Slovan Bratislava vs Mjällby

Celje vs Ararat-Armenia

Bodø/Glimt vs Union SG

N.E.C. vs Olympiacos

Sturm Graz vs Fenerbahçe

Lyon vs Sparta Praha

Hatua ya Play-off

Mechi za Kwanza

UEFA Champions league
UEFA Champions league

Levski Sofia / Kairat Almaty* vs AEK Athens (18:45 au 21:00)

GNK Dinamo / Kauno Žalgiris vs Viking (21:00)

Fenerbahçe / Sturm Graz vs Sparta Praha / Lyon (21:00)

Hapoel Beer-Sheva / Crvena Zvezda vs Aarhus / Sabah (21:00)

Celtic vs LASK (21:00)

Mjällby / Slovan Bratislava vs Ararat-Armenia / Celje (21:00)

Olympiacos / N.E.C. vs Union SG / Bodø/Glimt (21:00)

KUJUA KUHUSU UEFA MSIMU: Uefa Champions League 2026/27: Timu, Ratiba, Droo, Mfumo wa Mashindano mpaka Fainali

Mechi za Marudiano

Aarhus / Sabah* vs Hapoel Beer-Sheva / Crvena Zvezda (18:45 au 21:00)

LASK vs Celtic (21:00)

Union SG / Bodø/Glimt vs Olympiacos / N.E.C. (21:00)

AEK Athens vs Levski Sofia / Kairat Almaty (21:00)

Viking vs GNK Dinamo / Kauno Žalgiris (21:00)

Ararat-Armenia* / Celje vs Mjällby / Slovan Bratislava (18:45 au 21:00)

Sparta Praha / Lyon vs Fenerbahçe / Sturm Graz (21:00)

Droo ya Hatua ya Ligi

UEFA Champions League 2026/27 third round
UEFA Champions League 2026/27

Droo ya hatua ya ligi ya UEFA Champions League 2026/27 itafanyika Alhamisi, Agosti 27, 2026. Droo hiyo itahusisha jumla ya timu 36, timu 29 zilizofuzu moja kwa moja pamoja na washindi saba wa hatua ya play-off. Nani atafanikiwa kufuzu ndilo tamanio la mashabiki wengi kujua.

KUHUSU RATIBA YA EUROPA, SOMMA HII: Ratiba ya UEFA Europa League 2026/27 muda wa mechi | Odds | SportPesa Blog

Hitimisho

UEFA Champions League 2026/27 Third round, imekusanya mfululizo wa mechi 10 ngumu ambazo zitachezwa kwenye viwanja mbalimbali. Hii ndiyo hatua ya mwisho, kabla ya kuingia rasmi kwenye hatua ya ligi. Timu zitakazoondolewa katika Champions Path zitaendelea kwenye hatua ya play-off ya UEFA Europa League, huku zile zitakazoshindwa katika League Path zikifuzu moja kwa moja kwenye hatua ya ligi ya UEFA Europa League. Timu 7 zitakazoshinda hatua ya play-off zitaungana na timu 29 ambazo tayari zimefuzu moja kwa moja, kukamilisha timu 36 Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.