Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 22/11/2026 | Highlights | SportPesa Blog

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBCKagera Sugar vs TRA UnitedKagera Sugar vs TRA United

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC
Yassin Saleh

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 22/11/2026 | Highlights | SportPesa Blog

  • Pambano kali limemalizika kwa ubao kusoma Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 2026/27.
  • Mechi hii imechezwa Uwanja wa Kaitaba, wenyeji walianza kufunga dakika 42 kupitia kwa Yassin Saleh aliyechaguliwa kuwa Man of The Match na Amy Mapaka alisawazisha dakika ya 57.
  • Kwenye msimamo Kagera Sugar inaburuza mkia, TRA United nafasi ya 12.
  • Hassan Mussa nyota wa kikosi cha wakata miwa alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 63

Ni Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 22/11/2026 matokeo rasmi ya mchezo. Wababe hawa wamegawana pointi mojamoja kwenye pambano kali, Uwanja wa Kaitaba, Kagera.Yassin Saleh dakika ya 42 alifunga kwa Kagera Sugar na Amy Mapaka alisawazisha dakika ya 57.

SOMA HII PIA:Tanzania Premier League 2026/27: Fixtures, Results, Standings and Teams

Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

image
 

Taarifa Kagera Sugar 1-1 TRA United

Kwenye pambano la Kagera Sugar 1-1 TRA United mchezaji Hassan Mussa alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 63.Kadi hiyo ilitokana na kitendo cha kumpiga kiwiko mchezaji wa TRA United.Hivyo atakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi.Matokeo haya yanaifanya Kagera Sugar kufikisha pointi 7 nafasi ya 16 na TRA United nafasi ya 12 ikiwa na pointi 12.

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Matokeo Kagera Sugar 1-1 TRA United
Uwanja Kaitaba
Tarehe 22/11/2026
Timu mwenyeji Kagera Sugar

Kagera Sugar 1-1 TRA United takwimu

Kipengele Kagera Sugar TRA United
Mabao 1 1
Mashuti 10 12
Umiliki 40%  60%
Pasi 174 316
Kadi nyekundu 1 0

Takwimu za wachezaji

Nyota wa Kagera Sugar Yassin Saleh kwa mujibu wa Sokametrics alikuwa kwenye ubora akimaliza dakika 90.Alipiga mashuti mawili yaliyolenga lango na kufunga bao moja.Nyota huyu alitengeneza nafasi moja.

Amy Mapaka wa TRA United alikuwa katika uimara uwanjani.Alitumia dakika 90 akifunga bao moja.Ni shuti moja alipiga lililolenga lango likiwa ni bao lakusawazisha.

SOMA HII PIA:Kagera Sugar 0-2 Simba SC | JKT Tanzania 1-1 TRA United | Matokeo mzunguko wa kwanza | SportPesa Blog

Hitimisho

Kagera Sugar 1-1 TRA United moja ya pambano kali lililopigwa ndani ya NBC Premier League.Wageni walikuwa imara kwenye umilikiwa wakitawala mchezo kwa asilimia kubwa.Wenyeji walikuwa mabingwa kwenye faulo wakitawala eneo hilo wakicheza mara 17.

Share this: