- Ijue ratiba ya UEFA Europa League 2026/27 wababe kazini kwenye msako wa ushindi uwanjani
- KuPS vs Craiova ni mechi ya mapema saa 12:00 jioni itachezwa
- RB Salzburg vs Pafos ni usiku saa 2:00 kwa saa za Afrika Mashariki
Hapa tumekuletea ratiba ya UEFA Europa League 2026/27 mechi kali ambazo zinatarajiwa kuchezwa leo Agosti 6,2026. Kila timu itashuka uwanjani kutafuta ushindi. Muda wa mechi kwa saa za Afrika Mashariki tumekuletea hapa.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa UEFA Europa League
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeboreshwa na unaweza kubashiri mechi za UEFA Europa League gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Hii hapa ratiba ya UEFA Europa League 2026/27
KuPS vs Craiova
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Agosti 6,2026 saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Uwanja wa Kuopio.
M. Tel Aviv vs CSKA Sofia
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Agosti 6,2026 saa 1:00 usiku saa za Afrika Mashariki. Uwanja wa Batumi

Jagiellonia Bialystok vs Rangers
Ratiba ya wababe hawa ni leo Agosti 6,2026 saa 1:00 usiku saa za Afrika Mashariki. Uwanja wa Bialystock.

RB Salzburg vs Pafos

Hawa wanatarajiwa kukutana Agosti 6,2026 saa 2:00 usiku. Wababe hawa watakutana Red Bull Arena Salzburg.
Hradec Kralove vs Besiktas
Ni Agosti 6,2026 saa 2:00 usiku wababe hawa watakuwa kazini. Itapigwa ndani ya Malsovica arena, Hradec Kralove.



