Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC: Selemani Mwalimu atua Zanzibar aanza mazoezi na Shalulile, Kariakoo Derby, Matokeo, Ratiba, h2h, Habari za timu

ByJoel Thomas

August 11, 2026
Usajili mpya Yanga SCSelemani MwalimuSelemani Mwalimu
  • Mambo ni moto kuelekea mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex.
  • Tayari timu zote 2 zimewasili visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi ya mwisho, kabla ya kuvaana kesho Jumatano saa 2:30 usiku.
  • Ikumbukwe timu zote mbili zinaingia katika Mchezo huu zikiwa na kumbukumbu ya vipigo. Wananchi walipata matokeo ya Yanga SC 2-1 Aigles du Congo, huku Mnyama nae akichapika Simba 0-1 Polisi Kenya.
  • Kuelekea Mchezo huo staa wa zamani wa Simba, Selemani Mwalimu ‘Selemani Gomez’ amezua gumzo kubwa baada ya kutambulishwa Yanga SC. Makala hii inakuletea Habari picha staa huyo akiwa kaanza mazoezi.

Muda mchache umebaki kabla ya kushuhudia mechi kubwa ya Kariakoo Dabi ya Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC. Huu ni Mchezo wa ufunguzi wa msimu wa Ligi Kuu Bara 2026/27, ambayo inatarajiwa kuanza saa 2:30 kesho Agosti 12, 2026. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambapo tayari Selemani Mwalimu ‘Selemani Gomez’ amekuwa gumzo kubwa baada ya kujiunga Yanga SC akitokea Simba SC. Makala hii inakuletea ghabari picha ya staa huyo akiwa mazoezini.

Je, unataka kushinda mamilioni ya SportPesa?

Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi, kwa kubonyeza picha hapo chini.

SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million
SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million

Selemani Mwalimu mazoezini Zanzibar kuelekea Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC

Mwalimu mazoezini
Mwalimu akiwa na Shalulile mazoezini
Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC
Sele Gomez mazoezini
Sele-Yanga
Sele-Yanga

KUSOMA TAKWIMU MUHIMU KUELEKEA KARIAKOO DABI KESHO JUMATANO, SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC Ngao ya Jamii: Kariakoo Derby, Matokeo, Ratiba, h2h, Habari za timu


Hitimisho

Mchezo wa Kariakoo dabi ya Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC mara zote umekuwa na mivutano mikubwa kutokana na uzito wake. Kuelekea Mchezo huu tayari staa Selemani Mwalimu ‘Selemani Gomez’ amezua taharuki, baada ya kutua Yanga SC siku chache baada ya kutambulishwa Simba SC. Swali ni Je, nani ataondoka na furaha kesho Jumatano, dakika 90, Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.