- Ni Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora wanakutana Uwanja wa Dallas
- Saa 4:00 usiku kwa Afrika Mashariki, Cristiano Ronaldo atakuwa kazini kupambana na Lamine Yamal
- SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa mechi, h2h na matokeo ya hivi karibuni
Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo unaowakutanisha majirani wa Ulaya katika Hatua ya 16 bora.. Ushindani wao wa soka umeanza zaidi ya miaka 100 iliyopita, na hii itakuwa mara ya tatu wanakutana katika Kombe la Dunia. Julai 6, 2026 saa 4:00 kwa Afrika Mashariki watakutana Uwanja wa Dallas.
Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 16 bora: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora | Mechi zote 8 | Utabiri | Odds kubwa | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Portugal vs Spain angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Taarifa za mechi
| Mashindano | FIFA Kombe la Dunia 2026 |
|---|---|
| Mechi | Portugal vs Spain |
| Hatua | 16 bora |
| Tarehe | Julai 6, 2026 |
| Siku | Jumatatu |
| Muda | Saa 4:00 usiku (Afrika Mashariki) |
| Uwanja | Dallas Stadium |
| Jukwaa la kubashiri | SportPesa |
Portugal vs Spain taarifa za ushindani na timu

Takwimu Mexico vs England: Prediction | Mexico vs England FIFA Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 16 bora, Ratiba, Live score, h2h, odds na habari za timu
| Kipengele | Maelezo |
| Historia ya ushindani | Spain na Portugal ni majirani wanaoshirikiana mpaka, na ushindani wao wa soka umeanza zaidi ya miaka 100 iliyopita. |
| Mechi za Kombe la Dunia | Wamekutana mara mbili tu katika historia ya Kombe la Dunia; hii itakuwa mara ya tatu ndani ya mashindano matano ya hivi karibuni. |
| Spain | Wanaingia mechi hii wakiwa favoriti kutokana na ubora wa kikosi chao na historia ya mafanikio. |
| Portugal | Wana nafasi ya kushangaza na kurejea robo-fainali, wakitegemea kizazi chenye uzoefu na vipaji. |
| Cristiano Ronaldo | Huenda hii ikawa mechi yake ya mwisho ya Kombe la Dunia, jambo linaloongeza msisimko na uzito wa pambano. |
| Umuhimu wa mechi | Mechi hii inatarajiwa kuwa na ukali zaidi ya mtoano wa kawaida kwa sababu ya historia na hadhi ya wachezaji wanaoshiriki. |
H2H Portugal vs Spain
Spain na Portugal wamekutana mara 41, nyingi zikiwa ni mechi za kirafiki (29). Katika hizo kirafiki:
- Spain imeshinda mara 12
- Portugal imeshinda mara 12
- Sare mara 12
Portugal vs Spain takwimu mashindano rasmi ya kimataifa
| Tarehe | Matokeo | Mashindano | Mahali |
| 8 Juni 2025 | Portugal 2-2 Spain (Portugal 5-3 pen) | UEFA Nations League Finals | Munich, Germany |
| 27 Sept 2022 | Spain 1-0 Portugal | UEFA Nations League | Braga, Portugal |
| 2 Juni 2022 | Spain 1-1 Portugal | UEFA Nations League | Seville, Spain |
| 15 Juni 2018 | Spain 3-3 Portugal | FIFA World Cup | Sochi, Russia |
| 27 Juni 2012 | Spain 0-0 Portugal (Spain 4-2 pen) | UEFA Euro | Donetsk, Ukraine |
| 29 Juni 2010 | Spain 1-0 Portugal | FIFA World Cup | Cape Town, South Africa |
| 20 Juni 2004 | Portugal 1-0 Spain | UEFA Euro | Lisbon, Portugal |
| 17 Juni 1984 | Spain 1-1 Portugal | UEFA Euro | Marseille, France |
| 9 Aprili 1950 | Spain 2-2 Portugal | FIFA WC Qualification | Lisbon, Portugal |
| 2 Aprili 1950 | Spain 5-1 Portugal | FIFA WC Qualification | Madrid, Spain |
| 18 Machi 1934 | Spain 2-1 Portugal | FIFA WC Qualification | Lisbon, Portugal |
Mchezo wa hivi karibuni kati ya Portugal na Spain ulikuwa katika UEFA Nations League Finals 2025.
Prediction Portugal vs Spain
Kwa mujibu wa takwimu Spain imekuwa na matokeo bora zaidi ikipata ushindi katika jumla ya mechi 17. Portugal imepata ushindi kwenye mechi 7 na sare ni mara 17. Mchezo huu utakuwa na matokeo yakushangaza kutokana na mwendo wa Portugal.
Matokeo ni Portugal 3-2 Spain. Haya ni maoni ya mhariri.
Namna ya kubashiri kupitia SportPesa

Rekodi za Paraguay vs Ufaransa: Prediction: Paraguay vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 16 bora, team news, odds, h2h
Namna ya kubashiri SportPesa
Fungua ukurasa wa tukio la Portugal vs Spain kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.
Hitimisho
Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026 inatarajiwa kuwa mechi ya mwisho kwa nyota Cristiano Ronaldo katika mashindano makubwa. Nyota huyo alifunga mchezo uliopita hatua ya 32 bora amekuwa kwenye mwendelezo wa ubora. Timu zote mbili zinahitaji matokeo ili kusonga mbele na zinapewa nafasi kutwaa taji hili kubwa.

