Marekani vs Bosnia na Herzegovina zUSA vs Bosnia
  • Marekani vs Bosnia na Herzegovina FIFA Kombe la Dunia 2026 knockout stage prediction
  • Juni 2,2026 Uwanja wa San Francisco Bay Area, saa 9:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
  • SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi na h2h kwa timu hizi zinazosaka hatua ya 16 bora

Timu ya taifa ya Marekani vs Bosnia na Herzegovina FIFA Kombe la Dunia 2026 zimeingia hatua ya mtoano. Wenyeji wametinga hatua hiyo wakiwa ni vinara wa Kundi D baada ya kushinda michezo miwili ya kwanza na kufungwa katika mchezo wa mwisho wa makundi. Bosnia na Herzegovina, kwa upande wao, walipenya hatua ya 32 bora kama moja ya timu zilizomaliza nafasi ya tatu bora zaidi katika makundi, wakipata tiketi yao kupitia ushindi wa kusisimua katika Kundi B.

Hii hapa ratiba FIFA 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Marekani vs Bosnia na Herzegovina angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

USA
USA vs Bosnia and Herzegovina

Taarifa za mechi

MashindanoFIFA Kombe la Dunia 2026
MechiMarekani vs Bosnia na Herzegovina
SikuAlhamisi, Julai 2, 2026
MudaSaa 3:00 asubuhi (Afrika Mashariki – EAT)
UwanjaSan Francisco Bay Area, Santa Clara
Hatua32 bora
Jukwaa la kubashiriSportPesa

Marekani vs Bosnia na Herzegovina taarifa kuhusu timu

Marekani chini ya kocha Mauricio Pochettino walionyesha ubabe mapema kwa kuichapa Paraguay 4-1 na kisha kuifunga Australia 2-0, matokeo yaliyowapa nafasi ya kufuzu kabla ya mechi ya mwisho. Ingawa walipoteza 3-2 dhidi ya Uturuki, walibaki kileleni mwa kundi kutokana na matokeo mazuri ya awali.

Kucheza nyumbani katika Uwanja wa San Francisco Bay Area, Santa Clara, kumeongeza kujiamini kwa Stars and Stripes. Wanataka kufika hatua ya 16 bora kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanya hivyo katika Kombe la Dunia la Qatar 2022.

Christian Pulisic ameendelea kuwa injini ya ubunifu wa kikosi cha Marekani, Folarin Balogun akionyesha makali yake kwa kufunga mabao mawili katika hatua ya makundi. Tyler Adams na Weston McKennie wameongeza nguvu na nidhamu katikati ya uwanja.

Kwa upande wa Bosnia na Herzegovina, safari yao imekuwa ya kusisimua zaidi. Kikosi cha Sergej Barbarez kilianza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Canada, kisha kupoteza 4-1 dhidi ya Uswisi. Hata hivyo, ushindi muhimu wa 3-1 dhidi ya Qatar uliwapa pointi nne na nafasi ya kufuzu kama moja ya timu bora zilizomaliza nafasi ya tatu.

Hii ni mara ya pili kwa Bosnia kushiriki Kombe la Dunia baada ya kuanza mwaka 2014, na kufika hatua ya mtoano ni mafanikio makubwa zaidi katika historia yao ya Kombe la Dunia. Straika mkongwe Edin Džeko anaendelea kuongoza safu ya ushambuliaji, huku Ermedin Demirović na Esmir Bajraktarević wakiongeza kasi na ubunifu mbele ya lango.

Habari za vikosi kabla ya mchezo Marekani vs Bosnia na Herzegovina

Marekani vs Bosnia na Herzegovina
Marekani vs Bosnia na Herzegovina

Marekani wana wasiwasi kidogo wa kiafya kabla ya mechi, kwani Christian Roldan, Mark McKenzie na Auston Trusty wanachunguzwa hali zao kabla ya kipenga cha kuanza. Hata hivyo, kocha Mauricio Pochettino anatarajiwa kuendelea na kikosi cha msingi kilichovutia katika hatua ya makundi.

Folarin Balogun anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji, akisaidiwa na Christian Pulisic na Weston McKennie. Tyler Adams ataendelea kuwa mhimili wa kiungo, huku Sergiño Dest na Antonee Robinson wakitarajiwa kutoa upana na nguvu kutoka nafasi za mabeki wa pembeni.

Bosnia na Herzegovina wanaweza kumkaribisha tena Tarik Muharemović baada ya kumaliza adhabu ya kusimamishwa, huku Amar Dedić akibaki na shaka kutokana na jeraha la paja. Nahodha Edin Džeko anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji licha ya kutofunga bao hadi sasa katika mashindano, akishirikiana na Ermedin Demirović mbele. Sead Kolašinac anatarajiwa kusimamia safu ya ulinzi pamoja na Muharemović iwapo atathibitishwa kuwa fiti.

Prediction lineups Marekani vs Bosnia na Herzegovina

  • Marekani (USA): Freese; Freeman, Ream, Richards, Robinson; Adams, Tillman; Dest, McKennie, Pulisic; Balogun
  • Bosnia na Herzegovina: Vasilj; Dedić, Katić, Muharemović, Kolašinac; Bajraktarević, Šunjić, Bašić, Alajbegović; Džeko, Demirović

H2H Marekani vs Bosnia na Herzegovina

Historia ya mechi na hali ya sasa Marekani na Bosnia na Herzegovina wamekutana mara tatu pekee hapo awali, zote zikiwa mechi za kirafiki za kimataifa. Marekani imeshinda mara mbili, ikiwemo ushindi wa 1-0 katika mkutano wao wa mwisho mnamo Desemba 2021, huku Bosnia ikishinda mara moja.

Wamarekani wanaingia katika mechi hii wakiwa na hali nzuri licha ya kupoteza dhidi ya Uturuki, wakishinda michezo minne kati ya sita ya mwisho katika mashindano yote. Mashambulizi yao yamekuwa kivutio kikuu cha mashindano, wakifunga mabao tisa katika mechi tatu za makundi.

Bosnia na Herzegovina wameonyesha uimara licha ya changamoto. Baada ya kupoteza kwa kishindo dhidi ya Uswisi, walijibu kwa nguvu kwa kuifunga Qatar 3-1 na kufuzu hatua ya mtoano. Hata hivyo, mapungufu ya ulinzi bado ni tatizo kwani wamefungwa mabao matano katika hatua ya makundi.

Prediction Marekani vs Bosnia na Herzegovina

Marekani vs Bosnia na Herzegovina ni mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Wenyeji Marekani wanapewa nafasi kubwa kupata ushindi. Asilimia 70 ushindi kwa Marekani huku Bosnia na Herzegovina wakipewa asilimia 11. Mchezo huu kufika muda wa nyongeza ama penati umepewa asilimia 19.

Utabiri wa matokeo: Marekani 2-0 Bosnia na Herzegovina. Haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.

USA
USA vs Bosnia and Herzegovina

Soma takwimu za mchezo huu hatua ya 32 bora: Prediction | Spain vs Austria Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 32 bora, Live score, h2h, odds na habari za timu

Namna ya kubashiri kupitia SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio la Marekani vs Bosnia na Herzegovina kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Share this: