Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black StarsPamba Jiji FC vs Singida BlackPamba Jiji FC vs Singida Black
Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars
Pamba Jiji vs Singida Black Stars

Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars:NBC Premier League | Highlights

  • FT:Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars, NBC Premier League kwa msimu huu wa 2026/27.
  • Jeancy Mboma amepachika bao pekee la ushindi dakika ya 90 wakiondoka na pointi 3 ugenini.
  • Singida Black Stars kwenye msimamo nafasi 7 ina pointi 14, Pamba Jiji FC nafasi ya 14 ina pointi 6.

Ni Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa NBC Premier League 3036/27.Bao pekee la ushindi Oktoba 29, 2026 limefungwa na Jeacy Mboma dakika ya 90+5.Wakiwa nyumbani, Uwanja wa CCM Kirumba, Pamba Jiji FC wamepishana na pointi tatu ambazo zimekwenda Singida.

SOMA HII HAPA:Pamba Jiji FC – Muhtasari, Historia ya Klabu, Kikosi, Ratiba, Matokeo, Takwimu, Tuzo na Habari za Hivi Karibuni

Bado hujashinda? Cheza na ushinde mpaka milioni 800 ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa

Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege.Rubani huku mkwanja upo wakutosha unakusubiri.Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

image

Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars taarifa

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Matokeo Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars
Uwanja CCM Kirumba
Tarehe 29/10/2026
Timu mwenyeji Pamba Jiji FC

Matukio ya mchezo

Katika mchezo wa NBC Premier League licha ya wenyeji kupoteza dakika za jioni walimaliza mchezo wakiwa pungufu.Nyota Zabona Mayombwa alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 32.Hii ilitokana na kumchezea faulo mchezaji wa Singida Black Stars.

Awali mwamuzi alimuonyesha kadi ya njano alipokwenda kujiridhisha kupitia FVS (Footbal Video Suport) alimuonyesha kadi nyekundu.Pamba Jiji FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza haijawa kwenye mwendo bora ndani ya msimu.Singida Black Stars wanatoka kifua mbele wakiwa na pointi tatu ugenini.

Msimamo

Singida Black Stars inafikisha pointi 14 nafasi 7 baada ya mechi 9. Pamba Jiji FC  nafasi ya 14 ina pointi 6 baada ya mechi 10. Vinara ni Simba SC wakiwa na pointi 27 baada ya mechi 9, Yanga SC nafasi ya pili pointi 22.

SOMA HII PIA:Singida Black Stars FC: Matokeo, Ratiba na Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2026/27)

Hitimisho

Wakati ubao ukisoma Pamba Jiji FC 0-1 Singida Black Stars wenyeji walikamilisha dakika 90 wakiwa pungufu.Singida Black Stars ilibidi isubiri kufunga dakika ya 90 katika mchezo huo mkali.Jeancy alichaguliwa kuwa Man of The Match.

Share this: